Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda kwny Website ya TRA kuna Calculator Yao ukiingia utajaza Particulars za gari husika Kama vile aina ya gari, Mwaka iliotengenezwa, CC zake, Nchi iliyo tengenezwa then Ina calculate automatic na kukupa total figure in Tshs.
Mbali ya figure hiyo ongeza Kama dola 150 kwa maana ya Agency fee na Storage Bandari ambazo haizidi laki 3!
Wakuu naomba mnisaidie namna ya kupata gharama halisi za kodi pindi ninapoagiza gari kutoka nje ya nchi. Pia je, tz unaweza kuingiza gari yenye miaka mingapi? Natanguliza shukrani