Jinsi Ya Ku-Cheat Mwenzi Wako Bila Kushikwa


nakubaliana na wewe; ndo maana nimeandika:

17. Tegemea Kunaswa siku moja. Kama ndiyo kamchezo kako kuwa una multiple partners, basi uwe tayari siku ukibambwa kuelezea uongo wako unaofanana na ukweli. Lakini kuwa tayari kuface matokeo yake. Cheating is a game. Sometimes you win, other times you lose, but that's part of what makes it so exciting.

Watach out another Thread ya Jinsi ya Kumkamata kwa ushahidi anye Cheat
Jinsi ya Kuacha Kucheat
Na jinsi ya kumfanya mwenzi wako aache kucheat
Na Jinsi ya Kuishi na mtu ambaye alishmfumania akicheat

A
 
13. Futa SMS na Voice Mails zote na Calls Log zote. Ukiacha zikikutwa ndiyo Kiama chako.


Labda hapa ulikuwa unamaanisha kufuta sms na voice mails zinazohusiana na mpenzi wako wa nje. Maana kama ni kufuta sms zote kabisa si ndo rahisi mno kushikwa??
 
mmm sijui upo kundi lipi ndugu yangu wanao cheat au wanao jiepusha na kucheat

Mshauri tu Mkuu ambaye amepata bahati ya kujua facts zote. Ni vema kujua pro and cons.

Na bado tutaendelea.
 
Kilichonifanya nimshtukie hubby kimojawapo ni kufuta call logs. Nilianza jiuliza ina maana jamaa apigi wala hapigiwi simu. Kwa hiyo kwa watu makini unashtukiwa kama utafuta call logs. Kuwa na e mail ya siri pia ni risk. Kwani nilikuta jamaa amehacha computer ikumbuke pasword so nili log in kama ninalia vile ingawa nilikuwa sijhi user name nilitype lots of initials mwisho kitu kikajibu na kudisplay pasword chenyewe. Kuhusu kuhusu kuhijack e mail ni rahisi sana kama umekaa na mtu muda mrefu. Unajifanya umesahahu pasword basi yahoo wanakupiga maswali. I did trial and error like for a month mwisho nikapata majibu yote. Mfano unaulizwa jina la pet wako wa kwanza ni nani. Nick name ya favourite aunt wako ni ipi? Mbona easy. Unapewa new pasword e mail inageuka yako na jamaa hakwambii kitu wote mnakauka kwani hawezi kuuliza ilihali ni illigal e mail. Well huwezi pata new mails lakini unapata mawasiliano yote ya awali.
 
Of course no one has a right to give anyone bad news. Utaishia kuchukiwa wenzako wanasolve mambo yao. Ila mtu binafsi ni vema kuwa mdadisi kwani it helps kugundua uhusiano mchafu alonao mume/mpenzi mapema kabla hajakolea au kuzaa nje. Maana inasikitisha mume mke anakuwa na affair for 5 years bila kujulikana. Mimi huo nahita ni uzembe au kutojali na nitadoubt mapenzi yenu. If you ignore much what your partner is or is not doing it might be you have multiple partners. Ni jukumu letu kulindana na one of the ways to do so ni kupelelezana. Nahita kulindana kwa sababu si wote wanao cheat wanapenda. Kuna watu wanatumia hirizi na wengine basi tu wanashawishi vibaya mno. And majority of men are weak when it comes to temptations.

 

Mkuu karibu Private Intelligence Club.

kazi unaiweza. LOL
 


Nyumba Kubwa, you said it all. very informative.
 
JP hukufuatilia mada. Baada ya hii itakuja:

1. Jinsi ya Kupata Ushahidi wa Ku-Cheat

2. Jinsi ya Kuacha Ku-Cheat

3. Jinsi ya Kumfanya Mwenzo Aache Kucheat

Stay tuned.

Kwenye red hapo mkuu... naisubiri kwa hamu
 
Ngoma inogile ni pale ambapo mke na mume wote wana wapenzi wa pembeni na wote wana apply hizi rules.
 
Ngoma inogile ni pale ambapo mke na mume wote wana wapenzi wa pembeni na wote wana apply hizi rules.

Duh! Then u get Mr & Mrs Smith . . . LOL

Dawa ni kila baada ya miezi 3 unamburuza mwenzi kwenye HIV TEST na ajue hiyo ni Mandatory vinginevyo no unyumba.

Hiyo atafanye aliye mjanja tu anayependa ndoa yake na familia.

Respect.
 
Hapa sasa tunaelekea kubaya jamani tunapeana hizi mbinu za kishetani, ukimwi utaisha kweli
 
Hapa sasa tunaelekea kubaya jamani tunapeana hizi mbinu za kishetani, ukimwi utaisha kweli


Fuatilia series hii, hutajilaumu. Ukitaka kuacha au kumkamata au kumfanya mwenzi wako aache, lazima kwanza uelewe somo.

Stay tunes and read other threads of this series.
 

Me dont like this thread..:A S thumbs_down:! Ina maana una hamasisha watu wacheat....is not good!!! :A S thumbs_down:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…