Jinsi Ya Ku-Cheat Mwenzi Wako Bila Kushikwa

Jinsi Ya Ku-Cheat Mwenzi Wako Bila Kushikwa

Me dont like this thread..<img src="/images/styles/JamiiForums/smilies/A S thumbs_down.gif" border="0" alt="" title="A S Thumbs Down" smilieid="117" class="inlineimg" />! Ina maana una hamasisha watu wacheat....is not good!!! <img src="/images/styles/JamiiForums/smilies/A S thumbs_down.gif" border="0" alt="" title="A S Thumbs Down" smilieid="117" class="inlineimg" />

soma mabandiko yake yote utaelewa na kulipenda hili bandiko.
 
Me dont like this thread..:A S thumbs_down:! Ina maana una hamasisha watu wacheat....is not good!!! :A S thumbs_down:

LOL - It is a series. Angalia thread zingine za Cheating. Kuna za Kuacha; kugundua; na kutakuwa na ziada.

U must know all these ukitaka kufanikiwa kuzuia cheating.
 
Jinsi ya Ku-Cheat Bila Kushikwa

Tahadhari:

Haishauriwi Kucheat kwa kuwa kuna madhara makubwa na ni dhambi kubwa. Hata hivyo information hizi ni zile ambazo zinatumiwa na Professional Cheaters ambao si rahisi kuwakamata kwani wako makini sana.

Ukikamatwa lolote linaweza kukupata mfano kupigwa, kuuwawa, kuachwa, kufedheheshwa n.k. If you do it, do at your own risk

Je unataka kujua ni vipi Um-Cheat mwenzi (Mke/Mume) wako bila kushikwa? Kama unataka sexual pleasures nje ya ndoa yako au relation yako na kuifanya iwe siri nzito usiwe na wasiwasi. Ili uweze Kumcheat mwenzi wako bila kubambwa inakubidi ufuate dondoo zifuatazo:

1. Mchukulie Mwenzi Mke/Mume wako kama ulivyokuwa unamchukulia kaba ya Affair. Ni lazima umwonyeshe tabia zile zile bila mabadiliko.

2. Wasiliana na Mpenzi wako unaye Cheat naye Kimada unapokuwa Nje ya Nyumbani. Mawasiliano yasifanyike home ila uwapo Ofisini, Bar, Restaurant nk. Usitumie namba ya simu ambayo Mwenzi Mume/Mke wako anaifahamu kila unapoweza. Usitumie emails au online chat kwa kuwa mwenzi wako kama makini atakukamata tu.

3. Usimwambie Mtu yeyote juu ya affair yako. Mpaka unaingia kaburini dont tell anyone. There is no Secret shared. Hakuna mtu atajua unless ameambiwa.

4. Hakikisha unaandaa hadithi nzuri au excuses ambazo zinafanana na ukweli na usishau hata kimoja. One mistake, one goal.

5. Hakikisha hana details za pesa zote unazotumia katika Affair au Cheating. Kwa hiyo pesa ya Hotel, dinner, etc zitoe katika source ambayo haifahamu. Na usiweke receipt hata siku moja. Ukiipata tu, iharibu na kuitupa.

6. Oga kabla hujaenda nyumbani mara tu baada ya kumaliza affair yenu. Hakikisha harufu ya Mchezo wenu, lipstick, nywele na perfume zote zinadhinitiwa na kuwekwa sawa kabla hamjatoka eneo la tukio.

7. Hakikisha mpenzi wako anajua kuwa Una Mke/Mume au GF/BF unless kama ilikuwa ni one-night stand lakini naye pia anaweza kukufuatilia kwenye Facebook kitu ambacho ni hatari kwani anaweza akapost chochote na mambo yakaharibika.

8. Dont fall in love. Kama unatafuta LOVE kweli na si Affair, then the rule is Get a divorce first. Usichanganye Excitement ya LUST na LOVE. Kumtafutia Mpenzi/Kimada wako maua au kumchukua dinner mara kwa mara ni njia rahisi ya kushikwa.

9. Usijifanye Guilty. Kama umeamua kula tamu, basi vile vile tambua kuwa huo ni msalaba wako hadi kaburini. If it was about Sex affair basi uko Ok, lakini kama umempenda then kuna shida. Usikubali kuvunja uhusiano mzuri na Mke/Mume wako. Usikubali kufeel guilt kiasi kitakachokufedhehesha na kuleta hisia zitakazomkesesha raha Mume/Mke wako. Guilt/pain zako is your problem. Deal nazo. Kuwa na roho ya paka.

10. Kila wakati wa Affair tumia protection au vaa kondom. Hakuna kitu kibaya kama kuzaa nje ya ndoa au kupata magonjwa ya kuambukiza kasha ukampelekea Mke/Mume wako. Kama ikibidi fanya Full Medical check up na Kimada wako na ifanyike several times. And pull out wakati wa kumaliza.

11. Kuwa na email ID ya siri na kila wakati futa history katika computer yako. Usiache laptop ukiwa umelog in.

12. Kama ni lazima kutumia simu yako, usitumie maneno ya hisia ya mapenzi mfano Nimekumiss sana; It was so sweet nk. Badala yake tumia coded language mfano; Nimekumiss sana = Network hakuna au It was so Sweet = Chakula Kilikuwa Kitamu nk. Kuwa mbunifu.

13. Futa SMS na Voice Mails zote na Calls Log zote. Ukiacha zikikutwa ndiyo Kiama chako.

14. Mfurahishe Mwenzi Mume/Mke wako na Mwonyeshe Mapenzi. Assume wewe ndiyo peke yako unamcheat mwenzi wako. Fikiria kumwonyesha mapenzi. Kila unapocheat mfanyie kitu kizuri, mletee maua, mnunulie zawadi, mtoe out, mpe romance ya kutosha nk. Usiwe mjinga kuomba msamaha na kupeleka maua na kilio baada ya kubambwa. Fanya hivyo kabla.

15. Nenda Nje ya Mji Kucheat au Centre of a very Busy Place ambapo yeyote akikuona hatakuhisi vibaya. Usiende Viwanja au sehemu zinazojulikana za maraha maana unaweza kuonekana.

16. Affairs za Ofisinini ziko poa zaidi. Raha yake kila mtu anajua wote ni wafanyakazi na si rahisi kushtukiwa. Mnakula Tunda huku mnakausha tu. Shida ni pale mapenzi yakizidi halafu mkakorofishana na moja akawa bored. So, play it cool.

17. Tegemea Kunaswa siku moja. Kama ndiyo kamchezo kako kuwa una multiple partners, basi uwe tayari siku ukibambwa kuelezea uongo wako unaofanana na ukweli. Lakini kuwa tayari kuface matokeo yake. Cheating is a game. Sometimes you win, other times you lose, but thats part of what makes it so exciting.

Aisee, kama wewe siyo SHETANI basi ni FIRST BORN wake.
 
Aisee, kama wewe siyo SHETANI basi ni FIRST BORN wake.

Umefuatilia post na series ya thread hii . . . . Umesoma posts husika kabla ya kuconclude . . . .

Unajua methodology zote za kuelimisha?
 
mkuu umenigusa hapo kuna mbinu zangu kama 14 hivi huwa nazitumia sasa wife kama nae yumo humu jf mbona atakuwa anafatilia sana na utakuwa umeniharibia sana.
 
mkuu umenigusa hapo kuna mbinu zangu kama 14 hivi huwa nazitumia sasa wife kama nae yumo humu jf mbona atakuwa anafatilia sana na utakuwa umeniharibia sana.

Mkuu; unatumia mbinu hii ?:

14. Mfurahishe Mwenzi Mume/Mke wako na Mwonyeshe Mapenzi. Assume wewe ndiyo peke yako unamcheat mwenzi wako. Fikiria kumwonyesha mapenzi. Kila unapocheat mfanyie kitu kizuri, mletee maua, mnunulie zawadi, mtoe out, mpe romance ya kutosha nk. Usiwe mjinga kuomba msamaha na kupeleka maua na kilio baada ya kubambwa. Fanya hivyo kabla.

Hufai kabisa . . . . LOL

Mrudie Muumba wako. Acha . . . LOL
 
Jinsi ya Ku-Cheat Bila Kushikwa

8. Don’t fall in love. Kama unatafuta LOVE kweli na si Affair, then the rule is Get a divorce first......Usichanganye Excitement ya LUST na LOVE. Kumtafutia Mpenzi/Kimada wako maua au kumchukua dinner mara kwa mara ni njia rahisi ya kushikwa.

HAPA ndipo ''cheaters'' wengi wanaposhikwa.
 
Kwa hizi thread za cheating bila shaka Allien atakua amesha-cheat sana kwa mbinu alizotaja na ameshadanganywa sana pia.
Hata hivyo si vyema kutoa somo la kujifunza ku-cheat coz zinaweza kutumika kubomoa zaidi kuliko kujenga. Na isitoshe sio wote wenye wapenzi wapo JF.
Mfano kama mimi nipo JF mpenzi wangu hayupo hapa basi naweza kuzitumia kumchezea akili kama yeye hazijui.
Nadhani ulipaswa umwage mbinu nyingi zaidi za kujenga mahusiano kuliko kumwaga mbinu sawa za kubomoa na kujenga
 
Kwa hizi thread za cheating bila shaka Allien atakua amesha-cheat sana kwa mbinu alizotaja na ameshadanganywa sana pia.
Hata hivyo si vyema kutoa somo la kujifunza ku-cheat coz zinaweza kutumika kubomoa zaidi kuliko kujenga. Na isitoshe sio wote wenye wapenzi wapo JF.
Mfano kama mimi nipo JF mpenzi wangu hayupo hapa basi naweza kuzitumia kumchezea akili kama yeye hazijui.
Nadhani ulipaswa umwage mbinu nyingi zaidi za kujenga mahusiano kuliko kumwaga mbinu sawa za kubomoa na kujenga

Mkuu, fuatilia series ya thread zangu nyingine utanielewa tu. Kuna thread mfano ya Jinsi ya Kuacha Ku-Cheat.

Kuna namna nyingi za kuelimishana. Baada ya thread hii, tutakopoanza kujadili thread mpya sasa ya jinsi ya Kumkamata Cheater kwa Evidence, utakuwa unajua tunatoka wapi. Nia yangu inaeleweka kwa tahadhari niliyoweka juu ya post.

I am just an independent Private Intelligence Reseracher with a lot of interest in social affairs. I am also a Motivational Speaker and i know the subject matter.

Respect CPU.
 
Dah, hiyo ya mwisho ngum kumesa. Mi sitakamatwa...
 
Dah, hiyo ya mwisho ngum kumesa. Mi sitakamatwa...

Usiponaswa, bado siku itafika. Ile siku kuu ya hukumu, kama unaamini Mungu yupo.

So, think about that.

Respect.
 
Ya nini kuwa na wapenzi wa kubadilishana simu na email wakati machangudoa wapo kibao na unapewa huduma baada ya hapo hakuna cha kupeana namba za simu wala email, unalipa unaishia.

Tena uzuri wa changudoa kondom ni lazima lakini hizi nyumba ndogo kuna wakati mnazoeana hamtumii kondom tena.

Halafu hiyo kanuni ya kupeleka zawadi kwa mwenzi wako baada ya kucheat itasababisha watu watiliwe shaka hata pale ambapo ni zawadi ya ukweli isiyo na unafiki nyuma yake.
 
wanakwambia 'two can play that game'...sasa unaweza kuwa unadhani unamkomoa mwenzako kumbe ngoma draw.
 
Wangapi humu wamecheat bila kushikwa lakini kila siku wanatamani wasingecheat au wawaambie wenza wao?
 
Mbinu za kumjua mtu muongo,
kwanza ukimuuliza jambo alilofanya wakat anakujibu majibu ya uongo au anakataa atafanya vitendo vifuatavyo;-
Atajishika sikio au atajishika sehem za mdomo au pua, atakohoa kidogo then akujibu, atanyanyua bega au kunyoosha kimkono kidogo, n.k
ukiona ishara mojawapo ya hizi ujue anadanganya ayasemayo, kumbuka ku make eye contact unapomuuliza maswal, mwizi wako/mwenza wako
 
Back
Top Bottom