Jinsi Ya Ku-Cheat Mwenzi Wako Bila Kushikwa


soma mabandiko yake yote utaelewa na kulipenda hili bandiko.
 
Me dont like this thread..:A S thumbs_down:! Ina maana una hamasisha watu wacheat....is not good!!! :A S thumbs_down:

LOL - It is a series. Angalia thread zingine za Cheating. Kuna za Kuacha; kugundua; na kutakuwa na ziada.

U must know all these ukitaka kufanikiwa kuzuia cheating.
 

Aisee, kama wewe siyo SHETANI basi ni FIRST BORN wake.
 
Aisee, kama wewe siyo SHETANI basi ni FIRST BORN wake.

Umefuatilia post na series ya thread hii . . . . Umesoma posts husika kabla ya kuconclude . . . .

Unajua methodology zote za kuelimisha?
 
mkuu umenigusa hapo kuna mbinu zangu kama 14 hivi huwa nazitumia sasa wife kama nae yumo humu jf mbona atakuwa anafatilia sana na utakuwa umeniharibia sana.
 
mkuu umenigusa hapo kuna mbinu zangu kama 14 hivi huwa nazitumia sasa wife kama nae yumo humu jf mbona atakuwa anafatilia sana na utakuwa umeniharibia sana.

Mkuu; unatumia mbinu hii ?:

14. Mfurahishe Mwenzi Mume/Mke wako na Mwonyeshe Mapenzi. Assume wewe ndiyo peke yako unamcheat mwenzi wako. Fikiria kumwonyesha mapenzi. Kila unapocheat mfanyie kitu kizuri, mletee maua, mnunulie zawadi, mtoe out, mpe romance ya kutosha nk. Usiwe mjinga kuomba msamaha na kupeleka maua na kilio baada ya kubambwa. Fanya hivyo kabla.

Hufai kabisa . . . . LOL

Mrudie Muumba wako. Acha . . . LOL
 

HAPA ndipo ''cheaters'' wengi wanaposhikwa.
 
Kwa hizi thread za cheating bila shaka Allien atakua amesha-cheat sana kwa mbinu alizotaja na ameshadanganywa sana pia.
Hata hivyo si vyema kutoa somo la kujifunza ku-cheat coz zinaweza kutumika kubomoa zaidi kuliko kujenga. Na isitoshe sio wote wenye wapenzi wapo JF.
Mfano kama mimi nipo JF mpenzi wangu hayupo hapa basi naweza kuzitumia kumchezea akili kama yeye hazijui.
Nadhani ulipaswa umwage mbinu nyingi zaidi za kujenga mahusiano kuliko kumwaga mbinu sawa za kubomoa na kujenga
 

Mkuu, fuatilia series ya thread zangu nyingine utanielewa tu. Kuna thread mfano ya Jinsi ya Kuacha Ku-Cheat.

Kuna namna nyingi za kuelimishana. Baada ya thread hii, tutakopoanza kujadili thread mpya sasa ya jinsi ya Kumkamata Cheater kwa Evidence, utakuwa unajua tunatoka wapi. Nia yangu inaeleweka kwa tahadhari niliyoweka juu ya post.

I am just an independent Private Intelligence Reseracher with a lot of interest in social affairs. I am also a Motivational Speaker and i know the subject matter.

Respect CPU.
 
Dah, hiyo ya mwisho ngum kumesa. Mi sitakamatwa...
 
Dah, hiyo ya mwisho ngum kumesa. Mi sitakamatwa...

Usiponaswa, bado siku itafika. Ile siku kuu ya hukumu, kama unaamini Mungu yupo.

So, think about that.

Respect.
 
Ya nini kuwa na wapenzi wa kubadilishana simu na email wakati machangudoa wapo kibao na unapewa huduma baada ya hapo hakuna cha kupeana namba za simu wala email, unalipa unaishia.

Tena uzuri wa changudoa kondom ni lazima lakini hizi nyumba ndogo kuna wakati mnazoeana hamtumii kondom tena.

Halafu hiyo kanuni ya kupeleka zawadi kwa mwenzi wako baada ya kucheat itasababisha watu watiliwe shaka hata pale ambapo ni zawadi ya ukweli isiyo na unafiki nyuma yake.
 
wanakwambia 'two can play that game'...sasa unaweza kuwa unadhani unamkomoa mwenzako kumbe ngoma draw.
 
Wangapi humu wamecheat bila kushikwa lakini kila siku wanatamani wasingecheat au wawaambie wenza wao?
 
Mbinu za kumjua mtu muongo,
kwanza ukimuuliza jambo alilofanya wakat anakujibu majibu ya uongo au anakataa atafanya vitendo vifuatavyo;-
Atajishika sikio au atajishika sehem za mdomo au pua, atakohoa kidogo then akujibu, atanyanyua bega au kunyoosha kimkono kidogo, n.k
ukiona ishara mojawapo ya hizi ujue anadanganya ayasemayo, kumbuka ku make eye contact unapomuuliza maswal, mwizi wako/mwenza wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…