Habari za mda huu Kuna watu tunajuana nao kwenye maisha ambao ni Bora tusingewafahamu Kuna watu ambao wanapenda kuwapangia wenzao jinsi ya kuishi mara Fanya ivi mara Fanya ivi na hapo wewe hauwapangii maisha yao
They call you when they need you only mbinu ipi ya kuwa epuka Hawa watu?
Ukishaweza kuignore maneno ya watu,utaweza kuwa huru,utakuta mtu una hofu na wasi wasi huku unawaza watu watakuonaje? Ukitaka kuwa huru ni lazima uwe na uamuzi wako binafsi usiotegemea watu wanaokuzunguka.