Wandugu, hivi ukitaka kuharakisha utoaji wa talaka kisheria unafanyaje? Kuna namna ambayo unaweza kuanzia mahakamani moja kwa moja bila kupitia baraza la kata?
Mkuu hapo utakwama. Utaratibu wa talaka unatoa ulazima wa kuanzia kwinye usuluhishi kwanza kama vile serikali za mtaa, kanisani, mskitini, ustawi wa jamii n.k. Mkishindwa kupatana basi mmoja kati yenu anaweza kupeleka shtaka mahakamani. Huo ndio utaratibu uliwekwa na Sheria ya Ndoa ya mwaka 1979, sura ya 29
Wandugu, hivi ukitaka kuharakisha utoaji wa talaka kisheria unafanyaje? Kuna namna ambayo unaweza kuanzia mahakamani moja kwa moja bila kupitia baraza la kata?