Jinsi ya ku fast track divorce papers

Jinsi ya ku fast track divorce papers

Kintiku

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2011
Posts
617
Reaction score
321
Wandugu, hivi ukitaka kuharakisha utoaji wa talaka kisheria unafanyaje? Kuna namna ambayo unaweza kuanzia mahakamani moja kwa moja bila kupitia baraza la kata?
 
Inaelekea wanasheria wako bize kuandaa mashtaka na utetezi wa Tiba na Ruge
 
Wandugu, hivi ukitaka kuharakisha utoaji wa talaka kisheria unafanyaje? Kuna namna ambayo unaweza kuanzia mahakamani moja kwa moja bila kupitia baraza la kata?

Mkuu hapo utakwama. Utaratibu wa talaka unatoa ulazima wa kuanzia kwinye usuluhishi kwanza kama vile serikali za mtaa, kanisani, mskitini, ustawi wa jamii n.k. Mkishindwa kupatana basi mmoja kati yenu anaweza kupeleka shtaka mahakamani. Huo ndio utaratibu uliwekwa na Sheria ya Ndoa ya mwaka 1979, sura ya 29
 
Nakushukuru sana mkuu, asante kwa maelekezo yako

Mkuu hapo utakwama. Utaratibu wa talaka unatoa ulazima wa kuanzia kwinye usuluhishi kwanza kama vile serikali za mtaa, kanisani, mskitini, ustawi wa jamii n.k. Mkishindwa kupatana basi mmoja kati yenu anaweza kupeleka shtaka mahakamani. Huo ndio utaratibu uliwekwa na Sheria ya Ndoa ya mwaka 1979, sura ya 29
 
Ukitaka haraka inabidi umtumie mwanasheria, ila na pesa lazima zikutoke zaidi ya milioni 2.
 
Wandugu, hivi ukitaka kuharakisha utoaji wa talaka kisheria unafanyaje? Kuna namna ambayo unaweza kuanzia mahakamani moja kwa moja bila kupitia baraza la kata?

What God has joined let no man lay asunder
 
Back
Top Bottom