spread kupanda usiku ni kwel ila mim natrade mchana na asubuh spread ikiwa lit Jion Nadraw Profit yangu kwa Mpesa Urahisi wao upo kwenye kutoa pesa mkuu within a 30Min hela yangu ipo kwa Mpesa Unatak nin tena mkuuuDuu mkuu ya Kweli hayo Na Vipi Hiyo Kesi anayosema kiongozi apo ya Spread kuwa Kubwa....???
KaribuIla Mkuu Asante Sana ngoja Nichangamkie Hiyo Elaa Ya Kuanza Na Kufund Apo Alafu Kma Kuna Lolote We ndo Utakuwa Muongozo wangu Kiongozi
Lakini mkuu huwezi kufunga trade zako jioni kila siku labda uwe scalper wa kichukua hadi profit ya $0.20, tunaita njiti/ pre mature.spread kupanda usiku ni kwel ila mim natrade mchana na asubuh spread ikiwa lit Jion Nadraw Profit yangu kwa Mpesa Urahisi wao upo kwenye kutoa pesa mkuu within a 30Min hela yangu ipo kwa Mpesa Unatak nin tena mkuuu
mkuuu kila mtu na plan zake kwang mim naita financial freedom any timenatak pesa yang napata alaf Premature profits bcoz zinanisababisha nikuze akaunt bila shida.....Hiyo ni Laki na 160,000 ndani ya Dakika Kadhaaa I Love Premature Profits 😡😡😡😡Lakini mkuu huwezi kufunga trade zako jioni kila siku labda uwe scalper wa kichukua hadi profit ya $0.20, tunaita njiti/ pre mature.
Mara nyingi sio tunapenda kulaza trade but huwa tunalazimika ku hold hadi faida itokee.
Hii dhana ya watu kutumia broker kwa kigezo cha kutoa pesa papo hapo sio uwekezaji wa faida.
Hui ni umachinga
Safi sana sema bado ina kamchakato flani japo waliodeposit wanasema ilichukuwa lisaa tuHatimaye Tickmill nao wametukumbuka Watanzania.
Sasa tuta deposit/withdrawal kwa
M pesa
Airtel money
Tigo pesa.
Leo ilikuwa majaribio, wanaanda dawati husika litakaloshughulikia DUSUPAYSafi sana sema bado ina kamchakato flani japo waliodeposit wanasema ilichukuwa lisaa tu
Mchakato Wa kudeposit bado haujawa rafik waboreshe, waweke km ule Wa templerHatimaye Tickmill nao wametukumbuka Watanzania.
Sasa tuta deposit/withdrawal kwa
M pesa
Airtel money
Tigo pesa.
Hiki kitu nikekutana nacho tickmill, hawajaverify account yangu wiki ya pili sasa, niandike namba ya nyumba sijui ipi sasa maana mara ya kwanza nilijaza kila kitu, nashindwa hata kuedit, embu nisaidie kwa hili.Kimsingi anayesumbua zaidi siyo broker bali mfumo wa MABENKI YETU yana mfumo dhaifu pamoja na masharti ya BOT.
Bado hawajawa familia na malipo ya kimtandao ndio maana kuna usumbufu mkubwa sana wa kukulipa.
Pesa huwa zinaingia saa moja hadi tatu tangu utoe kwa broker.
Kwa kuzingatia hayo nimejaribu kuwashawishi Tickmill kuwa na mfumo wezeshi na rahisi kwetu kutoa pesa zetu.
Jana tarehe 21/12 waliongea na Barvlays tz kuwa watuwezeshe kuchukua na kuweka pesa kwa broker kiurahisi, lkn wameomba wapewe muda wajadili.
Plan B waliyonayo ni kuzindua mfumo wa simu kama m pesa wameuita DUSPAY
wako kwenye maandalizi ya kuuzindua 28/12.
Huu sitauelezea sana hadi wakamilishe.
Kwa kifupi mimi ni mteja wao kwa muda thus why hunipigia na kuniuliza wapi waboreshe.
Kwa kiasi flani kujiunga hadi wakuverify unaweza kusota kiasi kwani hawataniii.
But naweza kukusaidia ku push na kukupa maelekezo muhimu.
Kwasasa visacard nzuri zaidi ni ya Standard chartered kwani wana mfumo wa 3D.
Ugumu ni kufungua acc yao kwani kianzio ni 200,000 lakini hizi pesa unaruhusiwa kuzitoa.
Najua kwa trader hiki sio kikwazo.
Kama sijakujibu usisite kuuliza mkuu.
Unapofungua acc tickmill zingatia haya;
1. Andika majina sawa na kitambulisho
2. Jaza namba ya nyumba hata iwe ya kubuni pamoja na jina la mtaa sawa na
Kitambulisho cha kura.
Ikiwa ulijiandikisha mburahati andika hivi;
House no 23/123, mburahati street.
Hii ni muhimu mno na ukipuuzia hawata kuverify.
3. Uta upload banking statement ya bank yoyote lkn ionyeshe anwani yako,
Huwezi kukubaliwa ufungue akaunti mbeya halafu statement isome dar.
4. Kuna sehemu ya kutengeneza neno la siri, hakikisha umechanga herufi kubwa ndogo na namba, mfano:
Dumelakuku2017.
Hii sio neno la siri la email yako bali ya akaunti yako ya tickmill.
Uliza lolote endapo sijakujibu
Hiki kitu templerfx wananikera sana, usiku spread ni kubwa niliopt kuwahama but broker wengine depositing huwa ni simple withdrawal ndoa kizungu mkutiIkiwa unahitaji tukuunge mkono kweye IB link yako uwe wazi tu.
Ni kweli hayo yote uyasemayo KASORO UPANDE WA GIZA HUJAUSEMA.
Niko Yemlper but sio broker mzuri hata kidogo. Usiku spread zake ni kubwa sana hadi kufikia 100 na zaidi, AMEUNGUZA ACC NYINGI SANA KUSHINDA JPMARKET.
Ni bora mara mia ubaki na jpmarket.
Mkuu inakusaidia nini kuwa na broker mwenye taratibu rahisi kufund na kutoa ilhali hupati faida nzuri?
Bora uchelewe kutoa lkn utengeneze faida.
Ninaongea kwa uzoefu.
Nimetrade nao siku 3 hawafai kabisa.
Kuna jamaa zangu kibao wapo humu niliwaonya kwenye uzi flani hapa, walinibeza lkn wameunguza acc hawana hamu
Mkuu kuhusu neteller nawezaje kuverify account yangu naweza ku2mia kitambulisho cha kura cz ndo ambacho ninacho sina passport lesen ya udeleva wala cha taifa.naomba kujua mkuuNina mengi ya kueleza kuhusu TICKMILL lakini kwa ufupi huyu ni broker bora kabisa wa kuaminika, hana hila kama wengine.
Mimi nilianza na xm, fxtm, fbs, fxchoice na jpmarket.
Wengi wana hila sana na wengine wanaongeza spread kubwa sana usiku kiasi cha kusababisha AKAUNTI KUUNGUA.
Lakini Tickmill ni broker mwaminifu sana na ni mkweli kama uwajuavyo Waingereza walio wengi***
Kwasasa Tickmill anaikodolea macho Tanzania na Namibia.
Hivyo ameanza kutengeneza mazingira rafiki kwa Watanzania ya kutuma na kupokea.
Kwasasa njia za kutuma na kupokea ni kwa kutumia;
1. Master/visa card** zenye mfumo wa
wa ulinzi wa 3D...nenda Standard
Chatered bank na barclays utazipata
2. Tumia skrill wallet au neteller
HUDUMA MPYA 28/12/2017
WATAANZISHA
DUSPAY...hii ni simbanking mpya.
Zaidi pm au uulize hapa nitarudi.