Kimsingi anayesumbua zaidi siyo broker bali mfumo wa MABENKI YETU yana mfumo dhaifu pamoja na masharti ya BOT.
Bado hawajawa familia na malipo ya kimtandao ndio maana kuna usumbufu mkubwa sana wa kukulipa.
Pesa huwa zinaingia saa moja hadi tatu tangu utoe kwa broker.
Kwa kuzingatia hayo nimejaribu kuwashawishi Tickmill kuwa na mfumo wezeshi na rahisi kwetu kutoa pesa zetu.
Jana tarehe 21/12 waliongea na Barvlays tz kuwa watuwezeshe kuchukua na kuweka pesa kwa broker kiurahisi, lkn wameomba wapewe muda wajadili.
Plan B waliyonayo ni kuzindua mfumo wa simu kama m pesa wameuita DUSPAY
wako kwenye maandalizi ya kuuzindua 28/12.
Huu sitauelezea sana hadi wakamilishe.
Kwa kifupi mimi ni mteja wao kwa muda thus why hunipigia na kuniuliza wapi waboreshe.
Kwa kiasi flani kujiunga hadi wakuverify unaweza kusota kiasi kwani hawataniii.
But naweza kukusaidia ku push na kukupa maelekezo muhimu.
Kwasasa visacard nzuri zaidi ni ya Standard chartered kwani wana mfumo wa 3D.
Ugumu ni kufungua acc yao kwani kianzio ni 200,000 lakini hizi pesa unaruhusiwa kuzitoa.
Najua kwa trader hiki sio kikwazo.
Kama sijakujibu usisite kuuliza mkuu.
Unapofungua acc tickmill zingatia haya;
1. Andika majina sawa na kitambulisho
2. Jaza namba ya nyumba hata iwe ya kubuni pamoja na jina la mtaa sawa na
Kitambulisho cha kura.
Ikiwa ulijiandikisha mburahati andika hivi;
House no 23/123, mburahati street.
Hii ni muhimu mno na ukipuuzia hawata kuverify.
3. Uta upload banking statement ya bank yoyote lkn ionyeshe anwani yako,
Huwezi kukubaliwa ufungue akaunti mbeya halafu statement isome dar.
4. Kuna sehemu ya kutengeneza neno la siri, hakikisha umechanga herufi kubwa ndogo na namba, mfano:
Dumelakuku2017.
Hii sio neno la siri la email yako bali ya akaunti yako ya tickmill.
Uliza lolote endapo sijakujibu