Jinsi ya ku root simu yako ya Android

Niliroot tecno, tangu hapo zile icon za phone dialer, contacts na message zikapotea. Kwahiyo simu ikawa haifai tena.
Ukitaka kuroot kuwa makini sana.
Sasa ulifanyaje kurejesha katika hari yake ya kawaida
 
Unajua wat weng still hawajajua ktu khs ku root sim.... Kw tz tang t tcra wazme cm fake mpk leoo hkunaaa any devic ambyoo utawzaa k root kw kitmia progrm au njia yyt .....
Umeongea uongo mkuu
 
Mbona swal langu halijajibiwa wadau au hamna mwenye jibu, nimejaribu kuroot j2 ya mwaka 2016 na kingroot imeleta jibu root strategy unavailable
 
Asante kwa kutupa elimu. mimi nilitumia kingoroot
 
Mi kwangu imefeli
Natumia simu yenye android version 6.0 marshmallows
 

Safi sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…