Jinsi ya ku root simu yako ya Android

Jinsi ya ku root simu yako ya Android

28fd11c83cb2d140cd5f8f1e591db717.jpg
 
Mm yangu ni nokia xl dual sim rm-1030 je naweza kuiroot na kuinstall google play maana nikifata procedure ya xda kuroot kwa frama root yaan bila computa inagoma kuroot pia nikitumia computa nikiconnect simu yangu inashindwa kusoma kwenye manager ya kwenye pc inakuwa inaload tuu mda wote naomba msaada nn tatizo ?
tumia hii link

How To root Nokia X / Nokia XL & install Google Apps
 
Daah bdo inakataa kusoa yan ilikubali mra moja tuu ilipo miss ndo mpaka sasa tangu mda ule uliponielekeza yan nimechk hoi[emoji19]
 
Msaada wa kuroot phntom mini z
Habari njema kwako uneataka ku root smartphone yako, mi nimefanikiwa ku root smartphone yangu bila matatizo, fuata njia hizi
1.fahamu cm yako ni android version ipi nenda kwenye settings >about
2. tumia apps kama kingo root ama iroot
3.hakikisha una download app ya ku root moja kwa moja bila kuhusisha computer
4. Ukifanikiwa hizo steps enjoy cm yako ikiwa ime root
 
ok faida za kuroot na mm nimeziona
wala watu wasukutishe
kuna faida ningi ukisharoot
 
Back
Top Bottom