Jinsi ya ku root simu yako ya Android

Nimejaribu kupita njia zote but nikianza kuroot inaishia 16% alafu inafeli na kuniambia "no strategy now". Msaada wapi nakosea
 
Mtoa mada naomba kujuzwa kuhusu hizi program nyingine kama pia zinapatikana katika Play store au kuna application nyingine mkuu? Me nilifikiri Play store pia ni ya Android?.nilikua najiuliza tuu mwenyewe nikaona niliweke hapa
 
Pia nilikuwa naomba kujua apps gani ambazo naweza kuzipata baada ya Ku root simu,ambapo awali nilikuwa siwezi kuzipata
Program 10 za muhimu ambazo kila mtumiaji wa
Simu ya android alie MTAFITI anapaswa kua nazo:
1. Blackmart 0.99 (Rooted devices only)- Kwa ajili
ya ku download Paid Android Apps
# Downloadlink
https://onedrive.live.com/redir?resid=360E
C7743B8A3A62!118&authkey=!AFiTDD2xyqstI-U&ith
int=file%2capk
2. FMWhatsapp 2.12 - Altenative Whatsapp App
(Tumia Whatsapp 2 mpaka 3 za namba tofauti
kwenye simu moja)
#Downloadlink
https://onedrive.live.com/redir?resid=360E
C7743B8A3A62!127&authkey=!AH2xem5Fo-jDZNY&ith
int=file%2capk
3. GBWhatsapp - Altenative Whatsapp App
(Tumia Whatsapp 2 mpaka 3 za namba tofauti
kwenye simu moja)
#Downloadlink
https://onedrive.live.com/redir?resid=360E
C7743B8A3A62!122&authkey=!AL8lUrPTIdDVTsI&ith
int=file%2capk
4. Lucky Patcher 5.9.5 (Rooted devices only) -
Kwa ajili ya kufanya Program iwe 'System app',
kutoa Google ads kwenye Program flan,
ku'crack' apk file, ku unistall System apps, nk
#Downloadlink
https://onedrive.live.com/redir?resid=360E
C7743B8A3A62!128&authkey=!AAwtBlVJzIQSU-U&ith
int=file%2capk
5. Nova Launcher 4.0.1 Prime (Works best in
rooted Devices) - Best Android Launcher I ever
met!
#Downloadlink
https://onedrive.live.com/redir?resid=360E
C7743B8A3A62!148&authkey=!AAnJrCIaHHQBL1w&ith
int=file%2capk
6. RAMExpander 3.19 (Rooted devices only) - Kwa
ajili ya kuongeza RAM ya Simu kutoka kwenye
SD Card
#Downloadlink
https://onedrive.live.com/redir?resid=360E
C7743B8A3A62!123&authkey=!APdamHpO3gsGuTI&ith
int=file%2capk
7. Tubemate 2.2.6 - Kwa ajili ya ku download
Video za Youtube
#Downloadlink
https://onedrive.live.com/redir?resid=360E
C7743B8A3A62!117&authkey=!ALvbo3iGe3xGN5Q&ith
int=file%2capk
8. Switchme 2.1.32 (Rooted devices only) -
Kwaajili ya kutengeneza Profile tofauti za Mfumo
mzima wa Android...
#Downloadlink
https://onedrive.live.com/redir?resid=360E
C7743B8A3A62!153&authkey=!AI0GtUCbAnyqmIU&ith
int=file%2capk
9. Rashr (Flash tools) (Rooted devices only) -
Ku unlock bootloader, ku flash ROMs na .zip
files kwenda kwenye OS
#Downloadlink
https://onedrive.live.com/redir?resid=360E
C7743B8A3A62!152&authkey=!ADY75n8sqbHnnsI&ith
int=file%2capk
10. System App Removal (Rooted devices only) -
Kwa ajili ya ku uninstall Sysyem Apps
#Downloadlink
https://onedrive.live.com/redir?resid=360E
C7743B8A3A62!155&authkey=!AGfNB9lF3CI1syo&ith
int=file%2capk
Kusoma makala jinsi ya Ku root simu, fungua
hapa:-
https://m.facebook.com/story.php?story_
fbid=520754191429717&id=135063953332078
Usisahau ku like ukurasa wetu kwa Updates zaidi:-
https://mobile.facebook.com/Mobile-Phone-Tips-
Tricks-More-135063953332078/
Tunaomba Radhi kwa kutokuzingatia kigezo cha
Lugha.
Regards....
Athanas Chriss 0757413078
 
MKUU mbona hizo link zako zinazingua, sana sana naitaka hiyo nova launcher
 
Jamn nahitaji fundi cm aliebobea kwenye maswala ya softwere na cm huawei g.610 imewashinda mafund wengi so nahitaji msaada wa haraka vilevile nina cm HTC inahitajika boots file mwenye uwezo tuchekiane kwa dsm namba Yang 0714 591693
 
hahaaaa ngoja nsubr kutoka kwako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…