Jinsi ya ku root simu yako ya Android


Asante sana nimesha fanikisha sasa na enjoy simu yangu
 
Ni application gani ambayo itaifanya simu yangu kua na mwonekano kama Samsung namaanisha fonts ziwe na mwonekano tofauti tofauti
 
mkuuu athanas nimejaribu kuroot simu yangu aina ya LG D958 lakini inafika mpaka 85% baada ya hapo inakata then inaadndika no strategy way,naomba msaada wako kaka
 
Wakuu nimesha-root simu ila Nina maswali.

1. Je naweza kuondoa zile program zilokuja na simu...mfano; calendar, radio , calculator n. k


2. Je naweza ku-update version yangu ya Android from jelly bean to lollipop ?

3. Afu pia simu bado iko slow kidogo ..( Natumia Tecno H5)
 
mkuu athanas imekubali but kuna muda imu inakataa kabisaa kufungua apps pia inastalk kbisakbisa,naomba msaada hapo wapi na?kosea
 
Weka Ramexpander yangu nimeiongeza ram ina speed balaa 9mbs[emoji14] [emoji14] [emoji12] [emoji12]
 
Mkuu mi natumia samsunga hagalx ace version yake 2.3.6 some app zinagoma kwenye cm.yangu je ni iroot cm yang apps zitakubali ku root zote coz inanmbia ur version does not support this app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…