Jinsi ya ku root simu yako ya Android

Jinsi ya ku root simu yako ya Android

Sawa mkuu.
Nimerudia ila sijaona mkuu.
Mkuu unadhani kuna angalizo kubwa zaidi ya hili hapa?:...soma kwanzia hapo alipoandika ZINGATIA
1454217575618.jpg
 
Simu yangu haina Google play store ya kudownload apps. Ni Sumsung galaxy note 3 SM-N9006 Naomba msaada please jinsi ya kuipata!
 
Yote hayo nimefanya na kufanikiwa.
Nahitaji kuzuia matangazo yanayojitokeza mara kwa mara nikiwa kwny net.
 
Mimi nimefuata procedure zote lakini inagoma baada ya kufikia hatua ya mwisho ambapo ina install na ikifika 90% inaniambia ROOT FAILED kama moja wapo ya screen shots zinavyoonekana kwenye thread ya Athanas0011 na simu yangu ni Itel 1503.
 
Back
Top Bottom