ikhatibu
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 2,449
- 2,409
Sawa mkuu.Ameweka mkuu! Rudi kasome vizuri......
Nimerudia ila sijaona mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mkuu.Ameweka mkuu! Rudi kasome vizuri......
Mkuu unadhani kuna angalizo kubwa zaidi ya hili hapa?:...soma kwanzia hapo alipoandika ZINGATIASawa mkuu.
Nimerudia ila sijaona mkuu.
Mkuu nadhani hatujelewana. Mi nilimaanisha . sio mtu ameona uzi huu na yeye anaanza kuroot. Bila kuja sababu gani inampelekea mpaka anaroot sim yake.Mkuu unadhani kuna angalizo kubwa zaidi ya hili hapa?:...soma kwanzia hapo alipoandika ZINGATIAView attachment 320280
Mi nimejaribu zinagoma, app gan nyingine za kuroot samsung???Yote hayo nimefanya na kufanikiwa.
Nahitaji kuzuia matangazo yanayojitokeza mara kwa mara nikiwa kwny net.
Jaribu kutafuta namba ya cm ya huyu jamaa pengine anaweza kukupa majibu maana hapa kaongelea Adroid pekee. Lakn pia ingia google andika App to root samsung pengne unaweza pata majibu.Mi nimejaribu zinagoma, app gan nyingine za kuroot samsung???
Ndio kingroot ilifanikisha[emoji38]Hongera ndg, ni Kingroot ilifanikisha??
ImekubaliTecno c5
Ndio ndg, inawezekanaUkisha root unaweza kui-unroot tena?