Jinsi ya ku root simu yako ya Android

Jinsi ya ku root simu yako ya Android

Niliroot tecno, tangu hapo zile icon za phone dialer, contacts na message zikapotea. Kwahiyo simu ikawa haifai tena.
Ukitaka kuroot kuwa makini sana.
Nenda google au playstore download zingine itakuwa poa
 
Mkuu mimi natumia tecno CAMON CM nimeenda play store nimeandika KingRoot inaniambia no result found.nifanyeje mkuu?
 
Mkuu mimi natumia tecno CAMON CM nimeenda play store nimeandika KingRoot inaniambia no result found.nifanyeje mkuu?
Kingroot huwezi ikuta playstore pia sidhani kama ita root hiyo simu.
 
Una upgrade vipi simu ambayo haina firmware official ?
 
Wakuu nawezaje kuroot simu yangu(itel A32F)msaada[emoji120]
 
Niliwai kutembelea makala moja about rooting..bahati mbaya makala ilijaa maneno magumu ya kiingereza. Na kama unavyojua English hata Magufuli hawez...nilishindwa kuelewa.
Sasa leoo nimeinyaka. Ntafanya iko kitu rooting!! Mkiona sionekani humu ujue imezima.
Hahahaha
 
Vipi ilizima au?[emoji23][emoji23]
 
Samahani simu yangu inazima zima samsung galaxy s7 edge nikiiroot itakuwa fresh
 
Back
Top Bottom