Jinsi ya kuacha Kunusa

Jinsi ya kuacha Kunusa

ivandon

Member
Joined
Dec 2, 2014
Posts
9
Reaction score
0
Wadau inakuwaje nina addiction ya kushika maeneo ya siri kisha kunusa. Kira mala ninaweka mkono kunako uvunguni kwangu ninashika ute ute nanusisha puani nardhika. Hapo nyuma adiction ilikuwa pia kushika sehemu ya haja kubwa ambayo ilipotea yenyewe. Hari hii ni kawaida au ni kasolo? Ushauli wa namna ya kuachana na tabia hii?
 
Ni PM nikupe maelezo ya kuacha, mm ni dactari wa kina mama na saikolojia
 
hiki kizaz kweli vichwan mmejaa makamasi tu.
Sio riziki ww..
 
Haya makubwa tena, Wewe wa ke au wa me....???
 
JF kuna wanyama,njooni mtembeze rungu kama comrade kipepe
 
Ukiona huna ushauli ni vyema usiandike chochote. Niko kwenye hari hii
 
Wadau inakuwaje nina addiction ya kushika maeneo ya siri kisha kunusa. Kira mala ninaweka mkono kunako uvunguni kwangu ninashika ute ute nanusisha puani nardhika. Hapo nyuma adiction ilikuwa pia kushika sehemu ya haja kubwa ambayo ilipotea yenyewe. Hari hii ni kawaida au ni kasolo? Ushauli wa namna ya kuachana na tabia hii?

Uuuuwiiii shule zifunguliweee tuuu...
 
anza kuona hicho unachofanya ni kinyaaa na uchafu hafu imagine watu wakikuona si watajutenga basi kidogo kidogo utaacha....duuuh ila una moyo ile harufu uwiiiiii hafu unawapa mikono watu daaah
 
Back
Top Bottom