denis fourplux
JF-Expert Member
- Aug 17, 2017
- 1,049
- 1,385
Kubali sigara ni mbaya na anza punguza matumizi ukishindwa iyo chukua sigara iweke kwenye maziwa uiloweke then itoe uikaushe juani washa sigara yako vuta
Sent from my iPhone using JamiiForums
Umekuwa affected,omba hifadhi uishi nyumba moja na wachungaji wa kilokole pia mda wako utumie ukiwa nao utaacha tu,sigara Ni sawa na punyeto, kula rushwa, amberuty,Wakuu habari za mida hii, ninatatizo la kuvuta sigara sana kila nikitamani kuacha naacha kama wiki mbili au mbili na nusu narudia tena, nifanyeje ili niache kuvuta kabisa?,
Mkuu! Ni vyema kusema matokeo ya kitendo hiki... ni yapi ? Kutambika? Kuwndesha??
Hujawa serious endelea tu kuvuta siku ukipata saratani ya mapafu utaacha tu uvutaji bila hata kupewa mbinu za namna ya kuacha
Jifunze kutafuba vitu km bigjii au kahawa onana na watu wa bukoba
Kama ni muislam nakushauri anza kufunga sunna. Masharti yake ni kama swaumu za ramadhani, mchana unajizuia na kula, kunywa na mengineyo ikiwemo kuvuta sigara.
Ukianza na 12- hours therapy utasogea mpaka masaa 24 during the course.
Mdogo mdogo mpaka utafikia lengo la kuacha kabisa. Ni ngumu ila jutahidi. Kila la kheri.
Sent using Jamii Forums mobile app