Ettore Bugatti
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 4,123
- 8,242
Ndivyo ilivyo..stem ya 'kipipi' haitaji any disturbance kwa brain.Ubaya wa majani pombe inakukataa maisha yako yote. Nilivuta ganja nikashangaa hata bia 3 siwezi kunywa wakati nilikuwa namaliza kreti kwa siku
Muhimu muda ukifika wa kuji'commit' kuacha kila aina ya ulevi inakuwa ni rahisi zaidi.