Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Ni maamuzi tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sigara unatakiwa kuacha "coldturkey" yaani papo kwa hapo. Hautakiwi kupunguza kidogo kidogo. Utapata shida mwanzoni lakini ukishafikisha siku 14 mpaka 30 bila kuvuta, ile hamu ya sigara inakuwa imeshapotea mwilini mwako.Jinsi ya kuacha kuvuta sigara
1: Kukata shauri la kuacha kuvuta toka ndani yako.Jinsi ya kuacha kuvuta sigara
mkuu sigara dawa bei ya jumla tunauza... Nitafutie wateja huko ulipoMimi nliamua ku switch kwenda sigara dawa. Nina zaidi ya miez 8 sijawah kuvuta enye iko na filter
Upande huu alosto hakuna kabsa. Nko mbioni kutemana.
Lakn katika kitu ngumu n kuacha
Asante mkuu je izo chewing gum zinaitwaje1: Kukata shauri la kuacha kuvuta toka ndani yako.
2: Epuka vishawishi vinavyokusababisha uvute.
3: Kuna chewing gum ambazo zina nicotine kwa kiasi kidogo. Ambazo hutumika kupunguza hamu, kiasi cha kuanzia hutegemea na kiasi cha sigara kwa siku ulichokuwa unavuta vs urefu wa muda uliotumia kimaisha. Hivyo, unaenda ukipunguza kiasi cha gums kadri muda unavyoenda na mwisho kuacha kabisa bila madhara.
Asante mkuu je izo chewing gum zinaitwaje
hii kitu ni hatari sio poa now najuta kwa kuanza ulikua funny now hata sijui naachajeKatak Hali ya kushanga asbh Leo nimefatwa na mwanamke mmoja Kuja kwangu kuniomba animtafutie mganga anaweza kumdhibiti mumeo ambae hz Sasa Ni mvuta bangi ,qmesema ameshindwa kbsa ameongeza nae jamaa aelewi kbsa swala kuacha bangi
Mm binafsi nimeongea na huyu kijan kabila la kikurya na kumuonya juu ya ufutaji wake wa bangi na sigara ,Jana tu nilimuokoa akinusuruki kudhalilishana kwa kushindwa kulipa madeni ya watu hali iliyo pelekea mdai kutaka kuchukua vifaa vyake vya Kaz ,
Je anayejuwa dawa ya kuacha bangi na sigara
Binti Ni kadogo dogo maskini jamaa kamsalisha mtoto mmoja wa miez tatu hivi SAS lkn ndio kifuta bangi hatari