Kwanza hongera sana kwa sababu kuweka nia tu ya kuacha sigara ni nusu ya ushindi wako! I am so proud of you.
Umejaribu kuzungumza na daktari? Pia kuna pipi mbadala nadhani zinakuwepo supermarket ambazo ukila hamu ya sigara inaondoka. Zina flava ya mint.
Pitia hapa pia
http://m.wikihow.com/Quit-Smoking.
Kwa ufupi sana:
1 Realize that tobacco creates a habit on a variable reinforcement schedule. Hii umeshaiweza.
2. Consider making a-list-of the reasons you're thinking about quitting to shore up your determination. Specific, current, emotion-based reasons are better than factual, future-based reasons. For instance, "It's-embarrassing-to ride the elevator at work smelling like a giant cigarette" is more motivating than "I don't want to get-cancer-when Im 40, 50 or 60."Get some facts. Ni aibu kwa kweli ukipata chance ya kuwa kissed ghafla unanuka masigara kama boksi!
3. Usiweke sigara ama viberiti karibu. Ukitamani uhangaike kutafuta.
4. Hii nimeipenda. Nitaitumia kushinda burger na soda lol. Distract yourself. Fanya mazoezi, ama swaki meno yako kila ukisikia hamu ya kuvuta. Place a big fat rubber band on your wrist. Everytime you get a craving, pull the rubber band back and "snap" your wrist, the trigger sensation goes away w/ the sting of the snap. Ama kunywa maji mengi kila ukisikia hamu ya sigara (hii imenisaidia kupunguza soda, nikishakunywa maji hata nikitaka soda two sips is all i can manage).
5 kiri kwa kinywa na uwaambie marafiki zako kuwa unajitahidi kuacha sigara. Kaa mbali na sigara na uwaombe wasivute mbele yako.
6. Ukiteleza usikate tamaa. Hata kama umevuta sigara moja, jijutie na nuia kutovuta tena. Its ok kuanguka lakini endapo utasimama na kuendelea.
Narudia, im proud of you. Hongera kwa kunuia kitu chema kwa ajili ya muonekano wako na afya njema pia. Kila la kheri.
N.B: anytime ulijisikia kuvuta sigara niandikie pm unihadithie. Na usisahau kunikumbusha kuwa hautaki kuvuta tena.