Jinsi ya kuacha kuvuta sigara (A Guide to Quitting Smoking)

Wapendwa Za Mchana.

Mwenzenu kijana wangu amejiingiza kwenye uraibu wa sigara. Kwanza nilikuwa nahisi baadae nimekuja kujua ni kweli.

Tafadhali mwenye kujua dawa ili aache anifahamishe.

Ahsanteni
 
Wapendwa Za Mchana.
Mwenzenu kijana wangu amejiingiza kwenye uraibu wa sigara. Kwanza nilikuwa nahisi baadae nimekuja kujua ni kweli. Tafadhali mwenye kujua dawa ili aache anifahamishe.
Ahsanteni
1. kata lips zako sinazo shikilia sigara, hivo hautaweza kuvuta kwa urahisi..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapendwa Za Mchana.
Mwenzenu kijana wangu amejiingiza kwenye uraibu wa sigara. Kwanza nilikuwa nahisi baadae nimekuja kujua ni kweli. Tafadhali mwenye kujua dawa ili aache anifahamishe.
Ahsanteni
Penda kunywa Chai ya rangi ya majani ya lebo ya kijani kila uhisipo kiu ya sigara wsiku 4-7 hutatamanivtena sigara
 
Muelimishe madhara ya sigara ukiambatanisha na picha za madhara waliyopata wavuta sigara kama..saratani yakoo...saratani ya mapafu...wagonjwa wa kifua kikuu...nk... hapo atakuelewa...lakini kama ni wewe ndo unavuta alafu unasema mwanao...ujumbe utakuwa umekufikia
 
Wapendwa Za Mchana.

Mwenzenu kijana wangu amejiingiza kwenye uraibu wa sigara. Kwanza nilikuwa nahisi baadae nimekuja kujua ni kweli.

Tafadhali mwenye kujua dawa ili aache anifahamishe.

Ahsanteni
Dawa ni dhamira yake binafsi.
 
Wapendwa Za Mchana.

Mwenzenu kijana wangu amejiingiza kwenye uraibu wa sigara. Kwanza nilikuwa nahisi baadae nimekuja kujua ni kweli.

Tafadhali mwenye kujua dawa ili aache anifahamishe.

Ahsanteni
Vijana wa siku hizi hatuelewi wala kusikia hadi majanga yatutokee, na hata kama mzee wa watu utajishughulisha kutafta tiba bado atendelea kuvuta, ila siku yakimkuta ndipo atataka tiba, subiri kwanza anyooke..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapendwa Za Mchana.

Mwenzenu kijana wangu amejiingiza kwenye uraibu wa sigara. Kwanza nilikuwa nahisi baadae nimekuja kujua ni kweli.

Tafadhali mwenye kujua dawa ili aache anifahamishe.

Ahsanteni
Ni maombi tu.ndiy dawa tosha
yamkini katupiwa pepo au kakumbana na pepo la Aina hiyo
hapo hata ukiongea na kumpa mifano hatokusikia.
ingia kwenye maombi na usiombe bila kukoma
 
Muelimishe madhara ya sigara ukiambatanisha na picha za madhara waliyopata wavuta sigara kama..saratani yakoo...saratani ya mapafu...wagonjwa wa kifua kikuu...nk... hapo atakuelewa...lakini kama ni wewe ndo unavuta alafu unasema mwanao...ujumbe utakuwa umekufikia

Najaribu kwa kweli kumweleza. Ila ni mkimya huwa anaiangalia tu. Naumia kama mzazi. Huwa nakata tamaa. nashukuru kwa ushauri wenu jamani
 
Kuvuta sigara si ugonjwa hivyo hakuna dawa ya kuacha kuvuta sigara
 
Back
Top Bottom