Jinsi ya kuachana na mpenzi

Ushauri na michango yenu, nimeeipenda sana. Nafanyia kazi mukichwa hapa.
 

Kwa priosoner bado kanipromise anaenda kuongea na first love wake, ila namuombeaje wasielewane, its joke. Tatizo namhurumia huyu kaka na ye anajipa mahope aje, pia nikimwambia ukweli atakasirika na mie sitaki anichunie maana ntaugua, sijui nfanyaje.
 
Hapo kwenye blue ujue umeniwahi Ciello!
 
mbona simple tu?

Mtoe lunch mle mshibe then mwambie kutokana na a,b,c,d sitoweza kuendelea na uhusiano huuu blah blah blah tutabakia kuwa friends ukipenda.......nakutakia maisha mema uende zako (usisahau kulipia bili ya msosi )

Bra-joe kaipenda hii.
 
Habari zenu lolz. Jamani naomba maushauri jinsi ya kuachana na mpenzi uliechoshwa na mambo yk ya Ajabu2.

Mdada kama una ujasiri wa kifisadi mfate na umpe makavu live. Kama huna huo ujasiri we kula buyu... hakuna kujibu sms zake wala kupokea simu zake ila kama anapajua kwako imekula kwako. becky:
 
habari zenu lolz. Jamani naomba maushauri jinsi ya kuachana na mpenzi uliechoshwa na mambo yk ya Ajabu2.


Kamata hii kitu:

https://www.jamiiforums.com/mahusia...-jinsi-ya-kumwacha-mpenzi-wako-kwa-amani.html


 
Mmh hii ngumu lakini usitumie simu eti nenda physically, looo cna huo uthubutu aisee
 
Kubadili mpenzi si suruhisho la matatizo ndani ya ndoa bali ninachosema kaeni chini tatueni tatizo/matatizo yenu
 
hakuna anayependa kubreakup bila sababu ya msingi jamani , muulieni awambie kinachomsibu sio kumng'ang'aniza asi breakup

Ukiona mtu havitaki viatu alivyokua anavivaa jua keshapata vipya[emoji12] Mtazamo tu
 
Mbona easy hyo mwite mweleze ukwel then kata mawasiliano naye akiona umempa cold sholder mwenyewe atajistukia!! Ila ukaze kwelkwel kuonyesha uko real
Huyu ntu siyo strong kwenye maamuzi ana aibu,kwahiyo mwambie akili yangu imenituma nijiunge na watawa (celibacy) so no moore fu......g!!!!!!!!!
 
Duh! Mshika mbili hii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…