Kuhusu ubora pitia huu mjadala hapa:Je vipi ubora wake?
Ndio zinafika salama.Je zinafika salama
Iwapo upo Dar utakuja kuchukua ofisini, na iwapo upo mkoani utatumiwa kwa EMS - Gharama ya ems ni TZS. 20,000 na utapokea simu ndani ya siku 2 mahala popote Tanzania....kuzipata nikiwa Tanzania.
Hapana, hakuna huu mchezo.unaweza kubadilishiwa na kuwekewa mzigo feki?
Nashkuru sana mkuu uzi huu umenipa mwanga sana!Kuhusu ubora pitia huu mjadala hapa:
> XIAOMI PHONE: Watumiaji na wapenzi wa simu aina ya xiaomi njoeni hapa xiaomi zote zipo hapa zinauzwa mpyaaa sealed
> Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja
Ndio zinafika salama.
Wengi wameagiza kupitia huu uzi: Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa
View attachment 1292071
Moja kati ya order nyingi za Xiaomi
Iwapo upo Dar utakuja kuchukua ofisini, na iwapo upo mkoani utatumiwa kwa EMS - Gharama ya ems ni TZS. 20,000 na utapokea simu ndani ya siku 2 mahala popote Tanzania
Hapana, hakuna huu mchezo.
Pia kumbuka una siku 180 za kudai fidia iwapo bidhaa uliyotumiwa hailingani na bidhaa uliyopokea. Zipo taratibu za kumlinda mteja.
Hivyo kuwa huru kufanya order, na bidhaa yako itakufikia.