kidadari
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 8,647
- 9,604
Nimeona simu nzuri AliExpress za Xiaomi wanauza nimevutiwa kuzinunua maana bei ni rhisi kiasi naomba mwenye uelewa wa jinsi ya kuzinunua na kuzipata nikiwa Tanzania.
Je vipi ubora wake?
Je zinafika salama au unaweza kubadilishiwa na kuwekewa mzigo feki?
Je vipi ubora wake?
Je zinafika salama au unaweza kubadilishiwa na kuwekewa mzigo feki?