Wilfredy Audiphace
Member
- Feb 20, 2018
- 28
- 14
Thread husika ni hii: Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasaningeomba mtu ambaye ashawahi kufanya anisaidie kwa mfano dhahiri tafadhali.
Nahitaji kujua je nikiagiza bidhaa kwa kutumia kampuni ya aliexpress nitazipata wapi bidhaa zangu kwa hapa tanzania
Sio kila bidhaa ina kodi. Hivyo swala la kodi/ vat hutegemea nivipi kuhusu kodi!?
KaribuAsante naweza kuwasiliana na wewe kwa kupitia hii namba yako ya wasap
Je ukifika tanzania nauchukulia sehemu ganiUna arrange Na kampuni yako ya logistics wao watafanya shughuli zote za kuhakikisha mzigo unasafiri hadi unakufikia
Vipi kuhusu garama zakemuone mwl RCT ndio mtaalamu, na anaeaminika humu JF, mimi mwenyewe ashanisaidia sana
Logistics company yako watakuletea kama ni DHL express au yoyote ileJe ukifika tanzania nauchukulia sehemu gani
Mdau nicheki Mimi chami Nina shida namba 0655669079Karibu
Habari naomba mawasiliano ya mwalimu RCT Mimi chami wa morogoro namba yangu ******9079
Mawasilioano yangu yako posti ya kwanza hapa: www.bit.ly/101buy4meVipi kuhusu garama zake
muone mwl RCT ndio mtaalamu, na anaeaminika humu JF, mimi mwenyewe ashanisaidia sana