Wilfredy Audiphace
Member
- Feb 20, 2018
- 28
- 14
Wakuu natumaini nyinyi yote mpo salama. Nahitaji kujua je nikiagiza bidhaa kwa kutumia kampuni ya aliexpress nitazipata wapi bidhaa zangu kwa hapa tanzania na vipi kuhusu kodi!? . ningeomba mtu ambaye ashawahi kufanya anisaidie kwa mfano dhahiri tafadhali.