pole mamii!]ni rahisi
mahitaji ni
maziwa(inategemea na idadi ya watu @ glass )
ice blocks kiasi
juice ya chungwa ,embe,nanasi,tofaa,papai (inategemea na flavor unayotaka)
vanilla essence (sio lazima)
then
andaa juice
weka maziwa kwenye glass
weka barafu
thn weka juice kwenye maziwa yenye barafu
unaweza kuweka sukari ukipenda sio lazima
koroga thn ni tayar kwa kunywa!
(well mi sijaiandaa kitaalamu kihhiivyo like ile vipimo sijui nini inawezekana mwingine anajua na vipimo so ongezeamo ujuzi humo!)