Jinsi ya kuandaa milk shake

Jinsi ya kuandaa milk shake

karibu my dear!
af umeadimika siku hiz vipi?
kwema?

Kwema kabisa, majukumu si mchezo, umri ukisogea nanona mambo nayo yanaongezeka, simu huku na huku basi ili mradi mpambano uendelee.
Ila nipo nimejaa tele, at least nitahema pasaka kabla ya kuadimika tena 🙂
kwema lakini?
 
pole mamii!]ni rahisi
mahitaji ni
maziwa(inategemea na idadi ya watu @ glass )
ice blocks kiasi
juice ya chungwa ,embe,nanasi,tofaa,papai (inategemea na flavor unayotaka)
vanilla essence (sio lazima)

then
andaa juice
weka maziwa kwenye glass
weka barafu
thn weka juice kwenye maziwa yenye barafu
unaweza kuweka sukari ukipenda sio lazima
koroga thn ni tayar kwa kunywa!
(well mi sijaiandaa kitaalamu kihhiivyo like ile vipimo sijui nini inawezekana mwingine anajua na vipimo so ongezeamo ujuzi humo!)

Simple n clear ntatumia maelekezo yako ndugu

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom