Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Download AzamTV app ya android utaona game zoteIngia facebook kwenye page ya azam tv angalia kama wnaonyesha kupitia facebook live
Ziko zote hapo downloadHakuna Mechi za ligi vodacom
Za mwaka gani?Ziko zote hapo download
Mwaka huu sasa iko ndanda na simbaZa mwaka gani?
Hakuna ligi kuu inayoitwa VPL mwaka huu tafuta kote ukipata nambie nikupe laki 1Mwaka huu sasa iko ndanda na simba
Muuliza swali nafikili alikuwa na maana ya ligi daraja la kwanzaHakuna ligi kuu inayoitwa VPL mwaka huu tafuta kote ukipata nambie nikupe laki 1
Mazoea ni mabaya sana. Safarii hii ligi kuu haidhaminiwi na vodacom kwa hiyo haiitwi tena VPL.Muuliza swali nafikili alikuwa na maana ya ligi daraja la kwanza