Jinsi ya kuangalia gari lako kama umeshaingia kwenye deni la paking la TARURA kabla halijazaa

Jinsi ya kuangalia gari lako kama umeshaingia kwenye deni la paking la TARURA kabla halijazaa

Wazo Kuu

Senior Member
Joined
Oct 21, 2018
Posts
114
Reaction score
295
Wadamu mnaomiliki mikoko hii ni muhimu.

Wiki iliyopita nilipita zangu kariakoo nikatafuta maegesho weee nikakosa mitaa yote ya shimoni. kwa bahati nikabahatisha private paking moja hivi nikawasha hazadi nikaegesha nikaingia dukani chini ya dakika tano nikawanimeshalipia ninachotaka nikapata na kutoka.

Kufika nje tu nikakutana na msichana mmoja mrembo amevalia kikoti cha njano na mistari ya kung'aa anaskani plate namba za gari yangu.

Nikamuacha amalize kazi yake, kisha nika muuliza ninalipaje sasa?
Akaniambia tafuta control namba ukalipe kabla ya siku saba.
Nikashangaa nikatafute wapi? nikamuomba aniprintie ili nilipe akasema "netweki" inazingua, kwa hiyo nijiongeze kwababu ameshaingiza gari langu kwenye mfumo wa TARURA. Na nisipolipa mapema itaongezeka mpaka 30,000/=.

Ikabidi nimuulize vizuri jinsi ya kuangalia.
Akaniambia niingie kwenye simu yangu nipige nambatarura - *152*00# kisha 4



2a.jpeg
3.jpeg
5.jpeg


6.jpeg
7.jpeg
8.jpeg
9.png


1.jpeg


5.jpeg
 
Kwa nini wasiunganishe huo mfumo na namba za simu za wenye magari ili aweze kupata ujumbe wa kutozwa hiyo parking fee.....au ni mwendelezo wa kupora pesa kiujanja ujanja toka kwa wanyonge.
 
Back
Top Bottom