Jinsi ya Kuanza Biashara ya Dhahabu Tanzania — Mwongozo Kamili!

Jinsi ya Kuanza Biashara ya Dhahabu Tanzania — Mwongozo Kamili!

🔹 Dubai Gold Market – Dubai ni moja ya masoko makubwa zaidi ya dhahabu duniani. Hata hivyo, kupeleka dhahabu Dubai kunahitaji mtaji mkubwa na leseni ya kuuza kimataifa.

mkuu gharama ya leseni ya kuuza kimataifa inakuaje?

na unaposema mtaji mkubwa kwa makisio ni kuanzia kama kiasi gani?
 
Masoko Mazuri ya Dhahabu Tanzania na Fursa za Kimataifa Biashara ya dhahabu inahitaji kujua wapi unaweza kuuza kwa faida nzuri. Tanzania ina masoko kadhaa yenye uhitaji mkubwa wa dhahabu, lakini pia kuna fursa kubwa katika masoko ya kimataifa kama Dubai. Masoko Maarufu ya Dhahabu Tanzania

🔸 Geita Gold Market – Geita ni kitovu cha uchimbaji wa dhahabu Tanzania, na hapa kuna masoko makubwa ya dhahabu yanayowahusisha wachimbaji wadogo na wafanyabiashara wakubwa.

🔸 Dar es Salaam – Samora Avenue (NHC House) – Hili ni soko rasmi jijini Dar es Salaam ambako wafanyabiashara wa dhahabu huleta madini yao kwa mauzo. Ikiwa unatafuta soko lenye wanunuzi wa uhakika na wauzaji wa madini yaliyothibitishwa, hapa ni mahali sahihi. Masoko ya Kimataifa Ukishakuwa na leseni kubwa na mtaji wa kutosha, unaweza kuuza dhahabu katika masoko makubwa ya kimataifa, kama:

🔹 Dubai Gold Market – Dubai ni moja ya masoko makubwa zaidi ya dhahabu duniani. Hata hivyo, kupeleka dhahabu Dubai kunahitaji mtaji mkubwa na leseni ya kuuza kimataifa.

Na je unaweza kununua kwenye hayo masoko kama la Dar kwa ajili ya kuuza nje kwa kuanzia hata profit itakua ndogo?
 
Back
Top Bottom