Jinsi ya Kuanza Biashara ya Dhahabu Tanzania — Mwongozo Kamili!

🔹 Dubai Gold Market – Dubai ni moja ya masoko makubwa zaidi ya dhahabu duniani. Hata hivyo, kupeleka dhahabu Dubai kunahitaji mtaji mkubwa na leseni ya kuuza kimataifa.

mkuu gharama ya leseni ya kuuza kimataifa inakuaje?

na unaposema mtaji mkubwa kwa makisio ni kuanzia kama kiasi gani?
 

Na je unaweza kununua kwenye hayo masoko kama la Dar kwa ajili ya kuuza nje kwa kuanzia hata profit itakua ndogo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…