0624576521 Karibu DarITCare company ltdKwema Wakuu,
Kuna idea nimeipata nahitaji kuianzishia APP. Sasa utaratibu ukoje? Naanzia wapi? Kuna vibali labda? Kama vipo naviombea wapi? Na kuna gharama? Kias gani kama zipo?
Na kama App yenyewe itakua watu wanaingia free, Mimi nitalipwa na nani kwa uingiaji wao huo ukiacha matangazo ya biashara?
Msaada wakuu
Mkuu nimeuliza maswali mawili matatu. Nijibu na mengine basMkuu hakuna kibali Nitafute tuyajenge Fasta
kuna vibali?Mkuu nimeuliza maswali mawili matatu. Nijibu na mengine bas
Ahsante mkuu wangu,kuna vibali?
Hakuna Vibali unless App yako ni ya Finance yani kama Bank au Mpesa utahitaji kujisajili
Naanzia wapi?
Unaanza na research, ingia playstore angalia App zinazoendana na idea yako , fanya tafiti mbalimbali upate kujua idea yako kama ni nzuri au Laa
kuna Gharama?
Ndio kama utamlipa Developer akutengenezee App mtakubaliana garama kiasi gani Epuka developer wa mchongo wanaojua chatGPT tu na kucheza na AI tafta dev mzuri akuonyeshe kazi alizofanya kabla ndio uingie makubaliano
Utalipwa?
Hapana hakuna atakaekulipa unless App yako uta monetize mfano kuweka Subscription Fee, promotion ads n.k
Je Umeridhika na Majibu?
Hakuna kitu kama hicho Mkuu mi aidha uweke ads au subscription, Ni aidha User waamgalie ads zilizowekwa kwenye web/App au walipie ada ila hakuna atakae kulipa kwa user tu kuingia NEVERAhsante mkuu wangu,
Nimekuelewa. Au idea nikiitengenezea web badala ya app, je vile watu wanapoingia (trafficking) si nakua nalipwa, au?
Kwa maana hiyo waliotengeza instagram,facebook,twiter,tik tok, etc. Wanasemekana ni matajiri, huo utajiri unatokana na kuweka adds? Mimi muda wote nilikuwa nafikiria bando linalotumika ndio hutumika kutengeneza pesa kumlipa mwenye app. NINGELIELEWA KAMA NINGELIKUWA NAMESOMA. ELIMU MUHIMU AISEE.Hakuna kitu kama hicho Mkuu mi aidha uweke ads au subscription, Ni aidha User waamgalie ads zilizowekwa kwenye web/App au walipie ada ila hakuna atakae kulipa kwa user tu kuingia NEVER
Jibu ni NDIOKwa maana hiyo waliotengeza instagram,facebook,twiter,tik tok, etc. Wanasemekana ni matajiri, huo utajiri unatokana na kuweka adds? Mimi muda wote nilikuwa nafikiria bando linalotumika ndio hutumika kutengeneza pesa kumlipa mwenye app. NINGELIELEWA KAMA NINGELIKUWA NAMESOMA. ELIMU MUHIMU AISEE.
Shukrani kiongozi, leo nimepata jambo jipya.Jibu ni NDIO
ADS(Matangazo) Ndio njia ya kwanza kabisa ya hii Mitandao ya kijamiii yaani hao Meta(,IG, FB,Thread) , X ya Elon Musk, JF ya Max, Na Google chanzo chao kikubwa cha mapato ni MATANGAZO kuna kitu kinaitwa Algorithm wafanyabiashars au watumiaji mbalimbali wanaweza kulipia Post au kutangaza Biashara Algorithm itasaidia kufikia watu husika walengwa wa Tangazo kwahiyo kwa siku watu wengi sanaa wanalipia post ili post zao zifike mbali ukishalipia post inakua sio post tena inakua "Promoted ads"
Kaa Ukijua Mapato makubwa ya social Media Apps ni MATANGAZO