Jinsi ya kuanzisha Zahanati

Northpal

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2015
Posts
329
Reaction score
295
Habari jamani? Mimi naomba kujuzwa na yeyote anayejua ni vigezo gani na hatua za kupitia ili kuanzisha Zahanati au kituo cha afya.

Asanteni.
 
Kwanza uwe na jengo, kwa dispensary vyumba visiwe chini ya NANE, na kituo cha afya si chini ya 15. Liwe painted vizuri ndani na nje. Uwe na incinerator, maji umeme. Kwa maelezo Zaid ni pm nikutumie mwongozo nahisi ninao soft copy. Ila hard copy ninao pia
 
Mi nataka mkuu naomba unitumie
 
Mkuu nimeku PM. Nami naomba huo muongozo.
 
Mkuu naomba soft copy
 
Msaada; anayefahamu au aliye na muongozo wa namna ya kufungua/kuanzisha zahanati(dispensary) anisaidie tafadhali.
 
Habari kaka, mzima wewe...samahan naomba mwongozo wa kfungua dispensary kama unao asantr.
0752061196
 
Mkuu naweza kuipata softcopy kupitia Barua pepe?
 
Habari mkuu naomba huo mwongozo unisaidie maana nauhitaji sana.nitumie kwenye no:0753917140 whatssap
 
Naomba unitumie mwongozo huo mkuu nauhitaji sana.nitumie kupitia no:0753917140
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…