Jinsi ya kubadilisha namba ya gari

Hakuna kitu kama hicho. Gari linasajiliwa mara 1 kwa aina moja ya namba. Unaweza badili usajili kutoka za serikali au majeshi kuja namba za kiraia. Huwezi sajiliwa kwa namba za kiraia mara 2.
 
Wakuu kwema.
Naomba msaada kujua kama naweza kubadilisha namba ya gari kutoka B kwenda D.
Na kama inawezekana gharama zipoje na gari yenyewe ni ndogo ya kutembelea.
Umeiba hiyo gari au?? Hakuna namna ya kubadilisha.Ni rahisi kubadilisha jinsia kuliko kubadili namba ya gari

Waweza lipia 5M kwa miaka mitatu jina unalotaka mfano SANTANA lionekane kwenye Plate but bado namba ya gari itabaki hiyo B
 
Wakuu kwema.
Naomba msaada kujua kama naweza kubadilisha namba ya gari kutoka B kwenda D.
Na kama inawezekana gharama zipoje na gari yenyewe ni ndogo ya kutembelea.
Hiyo ni ndoto ndugu..nunua nyingine utapata namba D.ila hiyo namba B kaa nayo mwanzo mwisho au muuzie mwenye uhitaji
 
Anataka kuiuza ionekane ni ya juzi ilo suala linawezekana sana tu. Kuna njia ya kufanya ila sitaweka hapa na mtu asije pm kuuliza. najua ikifahamika sana mtatumia fursa iyo kituuzia ma namba A kuwa ni D. Natafanya TRA washituke wengine fursa zipotee
 
Je no zinazoanza na E zimeshatoka? Nataka kujua wanajamvi!
Bado sana wala kutoka kwake si miaka ya hivi karibuni ndo kwanza tupo DJ..... zinaendelea DK...., DL...... hadi DZ.....
E siyo mwakani wala mwaka keshokutwa.
 
Duh, hii sijawahi kusikia, unless ni kwanjia za panya.. Hapo ukabadilishe mpaka chassis namba eenh.. Sawa?
 
Umeiba hiyo gari au?? Hakuna namna ya kubadilisha.Ni rahisi kubadilisha jinsia kuliko kubadili namba ya gari

Waweza lipia 5M kwa miaka mitatu jina unalotaka mfano SANTANA lionekane kwenye Plate but bado namba ya gari itabaki hiyo B
Hizo zilikuwa stori za town kuwa unaweza badili. Lakini hilo halipo. Jaribu tikusahau.
 
Huu utata hauwezi kuleta suluhu kweli...?
Mzee Muro wa Tzie akiuza gari yake Namba T 100 BXL kwa Okumu wa Mombasa kule Kenya gari itapata usajili Mpya, then baadae Okumu akaamua kumuuzia gari hilohilo Simba Mtoto wa Tanzania hapo gari itasajiliwa kwa namba za Tanzania Je, litapewa namba mpya au litarudishiwa namba zilezile za T 100 BXL.
Naomba kueleweshwa happo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…