jerryempire
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 5,530
- 9,550
peleka gar yko zanzbar then ikae kama wee 2 na usajil wa zanzbar then irudishe dar upewe no mpyaWakuu kwema.
Naomba msaada kujua kama naweza kubadilisha namba ya gari kutoka B kwenda D.
Na kama inawezekana gharama zipoje na gari yenyewe ni ndogo ya kutembelea.