Wakuu kwema.
Naomba msaada kujua kama naweza kubadilisha namba ya gari kutoka B kwenda D.
Na kama inawezekana gharama zipoje na gari yenyewe ni ndogo ya kutembelea.
Namba E itaanza punde henda hata ikawa ndani ya miezi 12 ijayo.
Kumbuka bado herufi tatu tu X,Y,Z kwa sasa tuko DWU na wastani wa herufi moja ni miezi minne.