Jinsi ya kubana matumizi kwenye budget ya chakula

Alright, it's just an advice.....Umenisikitisha tu uliposifia ubonge wako kama vile ni fahari kwako...but i've no bad intention.
Unsolicited advice. Ndo maana nikakuuliza what your problem is. Kama hamna, please relax.

Haina tofauti na kukuta mtu anafurahia kula ugali
maharagwe wake we unazuka huko from no where kusema tafuta hela acha kujisifia kula vyakula vya kimaskini.

Unahisi we ndo wa kwanza? Save your energy.
 
Alright! I've got u big man.
 
Mkuu usijali. Kwa style hiyo utakuwa tu bonge, Amen. [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Ungana nami jikoni, hutojuta kujipimia utakavyo

 
yaan we jamaa nimekuelewa sana ...nashangaa mtu anaesema kupika ni kuokoa gharama huwa sielewi kabisa labda kama una familia

mm binafsi hata kukata kata nyanya sjui vtunguu spend kabisa yaan nkishaanza kugusa gusa vyombo na masufuria mood huwa inabadilika kabisa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Shukrani..jitahidi uwaze saana waza ndoto kubwa usizoweza kuzitimiza, tafuta mwanamke unayempenda ila yeye hakupendi fanya mazoezi.

Hapo week mbili nyingi utashuka kama gunia la cement site.
 
ukishindwa kubalance vizuri kwenye chakula your will die poor
 
Tuko sawa kote kasoro hapo kwenye ubonge.
Mimi ni bonge haswa. Nyinyi mnaoweza kula bila kunenepa hongereni.
. Ubonge ni zao la kula sana na kutofanya kazi za nguvu au mazoezi. Matokeo ya mbele ni presha, kisukari nk.
 
Vibonge karibu wote ukiwaambia umenenepa kweli huwa wanajibu mwili mwepesi...nimetoka kumuuliza mshkaji wangu juzi. Naogopa kuunyemelea uzee na ubonge that' s all.

But, at the end of the day if you feel comfortable with your body, good for you men..
huwa tunatafuta comfort zone lakini tusikudanganye ingekuwa tunaenda sehemu tunapungua mara moja tena bila mateso haraka tungekimbilia.
huu mwili ni mziko kwa kweli ushukuru MWENYEZI MUNGU akuepushe na magonjwa vinginevyo ni shida mno.
 
Alright, it's just an advice.....Umenisikitisha tu uliposifia ubonge wako kama vile ni fahari kwako...but i've no bad intention.
hajakasirika ndugu uliongea vizuri wala usihofu. watu wanene hawana hasira ila wanahitaji lugha kama hizo ziwatie hasira ya kuondoa mafuta mwilini mwao.
 
Mwili hauna shukrani huo
 
huwa tunatafuta comfort zone lakini tusikudanganye ingekuwa tunaenda sehemu tunapungua mara moja tena bila mateso haraka tungekimbilia.
huu mwili ni mziko kwa kweli ushukuru MWENYEZI MUNGU akuepushe na magonjwa vinginevyo ni shida mno.
Haswa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…