Sethshalom
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 586
- 1,013
Mgahawani utakula useless rubbish, nilifanya hilo kosa some years back kwa miaka 2, sitamshauri mtu kufanya upuuzi kama wangu. Pika mwenyeweWakuu habari zenu.Nimekuwa nikijiuliza na kupiga mahesabu ya kubana matumizi hususan katika suala la chakula kutokana na hali ya uchumi ya sasa ilivyo.Ningependa kufahamu kutoka kwa wale wenzangu na mimi ambao wapo single.Hivi kati ya kununua vyakula migahawani (wastani sahani 2000/=) au kujipikia mwenyewe kipi ni bora?
Ukifika kunabaki na kesho kununua unakula hapo hapoBinafsi naona kama unaishi peke yako yani upo single kupika chakula ni ghalama kuliko kula migahawani lkn pia inategemea na shughuli zako zikoje
Maana kama mchana utakula kazini chai unywe kazini jioni upike hapo unakwepa nini?
Faida kubwa pekee nikwamba utakula ukipendacho na quality uitakayo
Pika mkuu...Wakuu habari zenu.Nimekuwa nikijiuliza na kupiga mahesabu ya kubana matumizi hususan katika suala la chakula kutokana na hali ya uchumi ya sasa ilivyo.Ningependa kufahamu kutoka kwa wale wenzangu na mimi ambao wapo single.Hivi kati ya kununua vyakula migahawani (wastani sahani 2000/=) au kujipikia mwenyewe kipi ni bora?
Mkuuu mbona una Swagga za Kihaya saaaana au Nduggu yake KidukuLiiiIt depends. Hakuna lililo bora.
Mi ni bachelor. Self employed. Nafanya kazi from home na inapobidi naenda site kwa client. Ila muda mwingi niko nyumbani.
Kwangu hakuna jiko hata la kuchemshia maji. Hizi ni sababu zangu, na zinaweza zisifanane na zako.
1. Nina kazi nyingi za kufanya. Kuandaa, kupika, post clean up itanichukua si chini ya masaa 6 kwa siku. Time better spent working.
2. Kuweka jiko, store ya vyakula na viungo kutaharibu the overall aesthetic ya my place. Kumbuka ni home office - air conditioned, electronics kibao. Upepo wa mzungu hauendani na harufu ya vitunguu
3. Vyakula ninavyopendelea kula sio optimal kupikia nyumbani. Nyamachoma, uta grill kila siku?
4. Sina hobby ya kupika. Sina hii talanta, siko creative jikoni. Najua kupika just the basics for survival.
5. Kula nje kunanipa variety. Naweza kula hata vitu nisivyoweza kupika. Najiuliza tu leo nile nini kisha natafuta sehemu kinapouzwa.
6. Nina usafiri binafsi unaoniwezesha kwenda kula popote haraka sana. Siko locked to a single provider. Always nabadilisha sehemu ninapokula ili kubadilisha ladha na kutafuta the best.
Kwa upande wa gharama nadhani what you want to eat matters more kuliko whether you cook or buy. Mimi ni foodie. My expenses za msosi zinarange katiya 200k - 350k a month.
Ilikuwaje bossMgahawani utakula useless rubbish, nilifanya hilo kosa some years back kwa miaka 2, sitamshauri mtu kufanya upuuzi kama wangu. Pika mwenyewe
Mbeya sehem gani ndugu yangu maana mhhhhh ulicho kiandika sio KweliAccording to my experience kupika inaweza kuwa ni gharama zaidi au gharama sawa na kula mgahawani japo inategemeana na mahala husika kwa mfano kwa mkoa wa Mbeya kula mgahawani no gharama nafuu Mara mbili zaidi ya kupika wali maharage buku,wali nyama,samaki buku jero chips 700,800 mpaka 1000 wali wa buku kwa mtoto was dar lonya lonya unawez kubakisha
π π π π πMkuuu mbona una Swagga za Kihaya saaaana au Nduggu yake KidukuLiii
Wewe ni foodie au ni food monger ππIt depends. Hakuna lililo bora.
Mi ni bachelor. Self employed. Nafanya kazi from home na inapobidi naenda site kwa client. Ila muda mwingi niko nyumbani.
Kwangu hakuna jiko hata la kuchemshia maji. Hizi ni sababu zangu, na zinaweza zisifanane na zako.
1. Nina kazi nyingi za kufanya. Kuandaa, kupika, post clean up itanichukua si chini ya masaa 6 kwa siku. Time better spent working.
2. Kuweka jiko, store ya vyakula na viungo kutaharibu the overall aesthetic ya my place. Kumbuka ni home office - air conditioned, electronics kibao. Upepo wa mzungu hauendani na harufu ya vitunguu
3. Vyakula ninavyopendelea kula sio optimal kupikia nyumbani. Nyamachoma, uta grill kila siku?
4. Sina hobby ya kupika. Sina hii talanta, siko creative jikoni. Najua kupika just the basics for survival.
5. Kula nje kunanipa variety. Naweza kula hata vitu nisivyoweza kupika. Najiuliza tu leo nile nini kisha natafuta sehemu kinapouzwa.
6. Nina usafiri binafsi unaoniwezesha kwenda kula popote haraka sana. Siko locked to a single provider. Always nabadilisha sehemu ninapokula ili kubadilisha ladha na kutafuta the best.
Kwa upande wa gharama nadhani what you want to eat matters more kuliko whether you cook or buy. Mimi ni foodie. My expenses za msosi zinarange katiya 200k - 350k a month.
Una open plan living room? Still AC haiwezi kusumbuliwa na jiko. Kibongobongo jiko na living room ni vyumba viwili tofauti. Kuna hood inanyonya harufu na ukungu utokanayo na kupika,inafungwa juu ya jiko.Aircon haitakiwi kukaa kwenye chumba chenye source kubwa za heat kama jiko. Jiko litaongeza overall temperature ya room hivyo AC itapambana zaidi kuishusha.
Also ule mvuke utaongeza humidity ya room. Mojawapo ya kazi za AC ni kuremove humidity, ambapo itashindwa kufanya efficiently since its too much na inakuwa produced jikoni. Ukikaa kwenye chumba chenye AC na kina humidity kubwa it is ectremely uncomfortable - clammy air.
Ule moshi wa jikoni whatever unachopika utaenda kutulia kwenye air filter za AC. Harufu ya ulichopika haitaisha.
Ningekuwa nimejenga yes, but hapa kwa mwenye nyumba I have to use what is in my disposal. I just have a big living room.Una open plan living room? Still AC haiwezi kusumbuliwa na jiko. Kibongobongo jiko na living room no vyumba viwili tofauti. Kuna hood inanyonya harufu na ukungu utokanayo na kupika,inafungwa juu ya jiko.
Una open plan living room? Still AC haiwezi kusumbuliwa na jiko. Kibongobongo jiko na living room no vyumba viwili tofauti. Kuna hood inanyonya harufu na ukungu utokanayo na kupika,inafungwa juu ya jiko.
SanaaMidlif Krisis wewe unajua kupika?
Shamooo hehehheheee.
Sanaa