Jinsi ya kubana matumizi kwenye budget ya chakula

Jinsi ya kubana matumizi kwenye budget ya chakula

Wakuu habari zenu.Nimekuwa nikijiuliza na kupiga mahesabu ya kubana matumizi hususan katika suala la chakula kutokana na hali ya uchumi ya sasa ilivyo.Ningependa kufahamu kutoka kwa wale wenzangu na mimi ambao wapo single.Hivi kati ya kununua vyakula migahawani (wastani sahani 2000/=) au kujipikia mwenyewe kipi ni bora?
Mgahawani utakula useless rubbish, nilifanya hilo kosa some years back kwa miaka 2, sitamshauri mtu kufanya upuuzi kama wangu. Pika mwenyewe
 
Binafsi naona kama unaishi peke yako yani upo single kupika chakula ni ghalama kuliko kula migahawani lkn pia inategemea na shughuli zako zikoje

Maana kama mchana utakula kazini chai unywe kazini jioni upike hapo unakwepa nini?

Faida kubwa pekee nikwamba utakula ukipendacho na quality uitakayo
Ukifika kunabaki na kesho kununua unakula hapo hapo
 
Likija swala la chakula napenda pika mwenyewe na hata anayepika lazima tu nitampa standard zangu maana wadada wa kazi wengi wachafu. Anaweza toka chooni hanawi mikono.
Hata nikibaki mwenyewe huwa napendelea kupika kuliko kununua na swala zima ni usafi wa chakula.

Vyombo huwa natumia hadi viishe vyote ndo naviosha
 
Bana matumizi kote ila sio kwenye kula (kama unakula kwa afya na sio starehe), kwa upande wa gharama hata kama uko peke yako maisha standard ya jiko la gas, rice cooker na kitchen appliances nyingine kama hizo, kujipikia ni nafuu kuliko kununua mgahawani. Hapo nimetumia uzoefu wangu mwenyewe kuna mwezi sikupika hata mara moja nilitumia gharama kubwa nikilinganisha na mwezi ambao nilikuea napika pika japo sio kila siku. Ila kama unavifaa kama Oven au vingine vya kisasa vya umeme utaona kupika ni gharama kuliko kununua nje.

Pia inategemea unapika mara ngapi kwa siku, mfano mimi sijawahi pika zaidi ya mara moja kwa siku, na kama ni siku ambayo nitashida home basi huwa napika chakula cha kula hata mara 2 au siku nzima (nikupasha tu).
Ila kama mtu unapika mara 2 au 3 kwa siku , gharama yake ni kubwa kuliko kula mgahawani.

Angalia usiutese mwili kisa gharama, hakuna sababu ya kutafuta hela kama hauzitumii ipasavyo kwenye kula vizuri.
 
Wakuu habari zenu.Nimekuwa nikijiuliza na kupiga mahesabu ya kubana matumizi hususan katika suala la chakula kutokana na hali ya uchumi ya sasa ilivyo.Ningependa kufahamu kutoka kwa wale wenzangu na mimi ambao wapo single.Hivi kati ya kununua vyakula migahawani (wastani sahani 2000/=) au kujipikia mwenyewe kipi ni bora?
Pika mkuu...
 
It depends. Hakuna lililo bora.

Mi ni bachelor. Self employed. Nafanya kazi from home na inapobidi naenda site kwa client. Ila muda mwingi niko nyumbani.

Kwangu hakuna jiko hata la kuchemshia maji. Hizi ni sababu zangu, na zinaweza zisifanane na zako.

1. Nina kazi nyingi za kufanya. Kuandaa, kupika, post clean up itanichukua si chini ya masaa 6 kwa siku. Time better spent working.

2. Kuweka jiko, store ya vyakula na viungo kutaharibu the overall aesthetic ya my place. Kumbuka ni home office - air conditioned, electronics kibao. Upepo wa mzungu hauendani na harufu ya vitunguu

3. Vyakula ninavyopendelea kula sio optimal kupikia nyumbani. Nyamachoma, uta grill kila siku?

4. Sina hobby ya kupika. Sina hii talanta, siko creative jikoni. Najua kupika just the basics for survival.

5. Kula nje kunanipa variety. Naweza kula hata vitu nisivyoweza kupika. Najiuliza tu leo nile nini kisha natafuta sehemu kinapouzwa.

6. Nina usafiri binafsi unaoniwezesha kwenda kula popote haraka sana. Siko locked to a single provider. Always nabadilisha sehemu ninapokula ili kubadilisha ladha na kutafuta the best.

Kwa upande wa gharama nadhani what you want to eat matters more kuliko whether you cook or buy. Mimi ni foodie. My expenses za msosi zinarange katiya 200k - 350k a month.
Mkuuu mbona una Swagga za Kihaya saaaana au Nduggu yake KidukuLiii
 
According to my experience kupika inaweza kuwa ni gharama zaidi au gharama sawa na kula mgahawani japo inategemeana na mahala husika kwa mfano kwa mkoa wa Mbeya kula mgahawani no gharama nafuu Mara mbili zaidi ya kupika wali maharage buku,wali nyama,samaki buku jero chips 700,800 mpaka 1000 wali wa buku kwa mtoto was dar lonya lonya unawez kubakisha
 
Mbeya sehem gani ndugu yangu maana mhhhhh ulicho kiandika sio Kweli
 
Kupika mwenyewe inapunguza gharama.Kama unayo fridge na microwave unaweza kuwa unapika chakula cha siku 3 mpaka wiki moja,unaweka kwenye fridge unabakia kupasha tu.
 
Mimi huwa sijali napoteza pesa kiasi gani niliaacha kupika kitambo sana baada ya kuona napoteza muda, muda huo wa kuanza kupika ningefanya mishe ngapi za muhimu zaidi ya kupika.
Kwasasa jukumu la kupika nimewaachia wenye migahawa nakula nitakacho kwa muda wowote nitakao siitaji themosi wala hotpot pia na kuoshaosha vyombo.

Kama ni wewe ni ME achana habari za kupikapika labda kwa dharula sana sikuhiyo upo home umepumzika.

Ukipika mwenyewe bila kujinana sana itakosti kwa wastani sh.2000 kwa siku jumlisha muda uliopoteza.
Ukinunua chakula kwa siku itagharimu sh.4500 bila upotevu wa muda.
 
It depends. Hakuna lililo bora.

Mi ni bachelor. Self employed. Nafanya kazi from home na inapobidi naenda site kwa client. Ila muda mwingi niko nyumbani.

Kwangu hakuna jiko hata la kuchemshia maji. Hizi ni sababu zangu, na zinaweza zisifanane na zako.

1. Nina kazi nyingi za kufanya. Kuandaa, kupika, post clean up itanichukua si chini ya masaa 6 kwa siku. Time better spent working.

2. Kuweka jiko, store ya vyakula na viungo kutaharibu the overall aesthetic ya my place. Kumbuka ni home office - air conditioned, electronics kibao. Upepo wa mzungu hauendani na harufu ya vitunguu

3. Vyakula ninavyopendelea kula sio optimal kupikia nyumbani. Nyamachoma, uta grill kila siku?

4. Sina hobby ya kupika. Sina hii talanta, siko creative jikoni. Najua kupika just the basics for survival.

5. Kula nje kunanipa variety. Naweza kula hata vitu nisivyoweza kupika. Najiuliza tu leo nile nini kisha natafuta sehemu kinapouzwa.

6. Nina usafiri binafsi unaoniwezesha kwenda kula popote haraka sana. Siko locked to a single provider. Always nabadilisha sehemu ninapokula ili kubadilisha ladha na kutafuta the best.

Kwa upande wa gharama nadhani what you want to eat matters more kuliko whether you cook or buy. Mimi ni foodie. My expenses za msosi zinarange katiya 200k - 350k a month.
Wewe ni foodie au ni food monger 😂🏃
 
Aircon haitakiwi kukaa kwenye chumba chenye source kubwa za heat kama jiko. Jiko litaongeza overall temperature ya room hivyo AC itapambana zaidi kuishusha.

Also ule mvuke utaongeza humidity ya room. Mojawapo ya kazi za AC ni kuremove humidity, ambapo itashindwa kufanya efficiently since its too much na inakuwa produced jikoni. Ukikaa kwenye chumba chenye AC na kina humidity kubwa it is ectremely uncomfortable - clammy air.

Ule moshi wa jikoni whatever unachopika utaenda kutulia kwenye air filter za AC. Harufu ya ulichopika haitaisha.
Una open plan living room? Still AC haiwezi kusumbuliwa na jiko. Kibongobongo jiko na living room ni vyumba viwili tofauti. Kuna hood inanyonya harufu na ukungu utokanayo na kupika,inafungwa juu ya jiko.
 
Una open plan living room? Still AC haiwezi kusumbuliwa na jiko. Kibongobongo jiko na living room no vyumba viwili tofauti. Kuna hood inanyonya harufu na ukungu utokanayo na kupika,inafungwa juu ya jiko.
Ningekuwa nimejenga yes, but hapa kwa mwenye nyumba I have to use what is in my disposal. I just have a big living room.
 
Una open plan living room? Still AC haiwezi kusumbuliwa na jiko. Kibongobongo jiko na living room no vyumba viwili tofauti. Kuna hood inanyonya harufu na ukungu utokanayo na kupika,inafungwa juu ya jiko.

Midlif Krisis wewe unajua kupika?

Shamooo hehehheheee.
 
Basi tubadilishe, achana na mabungo na sanvita...

Nataka kuonja pishi lako tafadhali, na midlif krisis itaisha eehehehee. Ila isiwe chai tafadhali maana si mpenzi wa chai hata, nikiinywa ujue ni detox.
 
Back
Top Bottom