thegeniustzda
JF-Expert Member
- Dec 14, 2017
- 211
- 358
Mimi mwenyewe mpira sijui kabisa, ila siku hizi nimeanza kubet na nakula kila siku hela ndogo ndogo.wadau msaada jinsi ya kubeti ? Soka Beti , M-Bet , Meridian Beti , Sport Pesa Na Mtu Wakubeti anatakiwa aweje ? Je Unatakiwa Kujua Mpira Sana Au Nikubuni Tuu Wakuu Vyuma Vimekaza Kila Mmoja Angetoa Maoni Yake Yangesaidia Sana Na Madada Zetu Wasiojua Mpira !!! Tz Ishi Na Mimi !!!!Vyuma Vimekaza Nayo Grissi Imemwagika
Bila shaka mpaka leo umefikia viwango vya juu sana!Mimi mwenyewe mpira sijui kabisa, ila siku hizi nimeanza kubet na nakula kila siku hela ndogo ndogo.
Nilichogundua, usiwe na tamaa ya kupata mapesa mengi, manake kubashiri matimu 13 kwa usahihi sio kazi ya kitoto.
Nimewauliza wakongwe wa kubet,wingine ananiambia ana miezi minne hajala hata mia na kila siku anabet kwa sh 500. Lakini mimi nikiweka buku buku kwa timu 3, lazima nitoke na hela.
Siujui mpira, sasa nafanyaje! Ni kweli sijui kabisa mpira, yaani wachezaji wa ulaya kwa ujumla wake ninaowajua hawazidi 15, nawajua tu rondomly na sijui wanatokea timu gani! Sasa nafanyaje?
Nanunua bundle, nazisoma timu husika mtandaoni, napata jibu, nalinganisha na pointi za kampuni husika, halafu mimi nakuwa mwamuzi wa mwisho, then naweka dau.
Siku za kwanza nishawahi kuliwa 4000, nilikuwa naangalia timu yenye mapesa mengi.
ungeweka na baadhi ya loosing tickets, ni muhimu mtu unayemleta kwenye biashara ajue pro and cons.., pia ni vema ukawaambia guarantee ya kipato ni kama unavyofanya wewe kuuza tips na sio kucheza (hapo kuna mojawapo haina risk)Wanaotaka kubet lazima uwe na mtaji kwanza kabla hujaanza kubet then nitafute nikupe game
Hizo ni baadhi ya winning ticket zanguView attachment 1265009View attachment 1265010View attachment 1265011
Ooooh well winning rate hiii hapa huwa na deal na 2 oddsungeweka na baadhi ya loosing tickets, ni muhimu mtu unayemleta kwenye biashara ajue pro and cons.., pia ni vema ukawaambia guarantee ya kipato ni kama unavyofanya wewe kuuza tips na sio kucheza (hapo kuna mojawapo haina risk)
hapo ukiweka tax ya 20 percent hizo odds sio even tena (unless hakuna tax on winning)Ooooh well winning rate hiii hapa huwa na deal na 2 odds View attachment 1265026
Yes am tipster my friends I have a lot of clients in world biashara yangu IPO telegram Niko na GROUP langu hukohapo ukiweka tax ya 20 percent hizo odds sio even tena (unless hakuna tax on winning)
pili kuna uwezekano wa kupitia a bad patch losses zikafuatana hence mtaji kuungua
na kama unafuata progressive betting systems while theoretically they sound good, practically its a shortcut to a poor house..
all in all, all the best ila your way is sure way (selling tips) that's not gambling its sure way of making money as long as you keep delivering and get customers
good on you ila nadhani kibinadamu ungekuwa unawaambia kabisa wafanye hii kama burudani na sio biashara (yaani biashara labda wawe kama wewe) ila sio kutegemea hii kitu in itself kama njia ya kipato na kuendesha maisha (bila hio caution utakuwa hauwatendei haki)Yes am tipster my friends I have a lot of clients in world biashara yangu IPO telegram Niko na GROUP langu huko
Worry out my friend nishawaambia previously daysgood on you ila nadhani kibinadamu ungekuwa unawaambia kabisa wafanye hii kama burudani na sio biashara (yaani biashara labda wawe kama wewe) ila sio kutegemea hii kitu in itself kama njia ya kipato na kuendesha maisha (bila hio caution utakuwa hauwatendei haki)
Wanaotaka kubet lazima uwe na mtaji kwanza kabla hujaanza kubet then nitafute nikupe game
Hizo ni baadhi ya winning ticket zanguView attachment 1265009View attachment 1265010View attachment 1265011
Nimekuomba ela yoyote kwani ?Acha uhuni we we,nakufalia sana comment zako za kitapeli tapelo