Mcqueenen
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 6,843
- 11,702
Leo ngoja nikupe hii siri.
Maana inakera pale umeshachagua chungwa lako tena la kudumu nalo halafu baada ya kulimenya unakuta halina maji, kavu au sio tamu yani ladhaless.
Ukitaka kupata chungwa tamu.
Usiangalie kwa nje lenye sura nzuri.
Angalia lile chungwa bayabaya ambalo kama lina mabaka mabaka yani kuna sehemu lina weusi na kuna sehemu la njano.(weusi halisia/natural sio ule wa kuoza)
We hakikisha halijaoza na angalia kama limeiva vizuri.
Yale machungwa mabaya mabaya kwa muonekano wa nje huwa matamu sana.