Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
Unaukumbuka wimbo wa Suma Lee?Ndiyo,, au kwani mnaongelea nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaukumbuka wimbo wa Suma Lee?Ndiyo,, au kwani mnaongelea nini?
Wafanyabiashara wanafanya ulaghai sanaa machungwa wanayapiga moto siku hizi kma ndiziLeo ngoja nikupe hii siri.
Maana inakera pale umeshachagua chungwa lako tena la kudumu nalo halafu baada ya kulimenya unakuta halina maji, kavu au sio tamu yani ladhaless.
Ukitaka kupata chungwa tamu.
Usiangalie kwa nje lenye sura nzuri.
Angalia lile chungwa bayabaya ambalo kama lina mabaka mabaka yani kuna sehemu lina weusi na kuna sehemu la njano.(weusi halisia/natural sio ule wa kuoza)
We hakikisha halijaoza na angalia kama limeiva vizuri.
Yale machungwa mabaya mabaya kwa muonekano wa nje huwa matamu sana.
Aha ha a huu Uzi umeshaharibika tayari anachowaza mleta mada na wachangiaji ni vitu viwili tofauti.Ndiyo,, au kwani mnaongelea nini?
Baada ya parachichi lisiloooza embe lenye funza ndani tafwadhari..Uzi mzuri sana wenye madini ya kutosha
Tunaomba next threads utupe elimu ya kuchagua parachichi lisilooza