Jinsi ya kuchagua machungwa

Wafanyabiashara wanafanya ulaghai sanaa machungwa wanayapiga moto siku hizi kma ndizi
Mzee alienda sokoni akaona machungwa mazurii akanunua heheheeee kumbe bhna chungwa kali hilo ndo akanambia hiyo siri ya wauza machungwa wa siku hizi

Saivi tunasubiri machungwa yakomae shambani kwetu tukachume huko kuliko kuuziwa machungwa machanga yalopigwa moto
 
Kumbe chungwa kalimenya utadhani chenza,mi binafsi napenda chenza [emoji16][emoji38]
 
Kiswahili ni pijini iliyokomaa[emoji28]
Chungwa km chungwa!
 
Uzi mzuri sana wenye madini ya kutosha

Tunaomba next threads utupe elimu ya kuchagua parachichi lisilooza
Baada ya parachichi lisiloooza embe lenye funza ndani tafwadhari..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…