Phdum
JF-Expert Member
- Apr 15, 2019
- 1,322
- 3,278
Uko wapi boss?Jbl charge 5 org unaweza scan bar code ya boksi lake kujirizisha nakutumia inbox ,jiwe tatu kamili naiacha tu bila maneno
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uko wapi boss?Jbl charge 5 org unaweza scan bar code ya boksi lake kujirizisha nakutumia inbox ,jiwe tatu kamili naiacha tu bila maneno
Kilangi masanja mkuu upo?Jbl charge 5 org unaweza scan bar code ya boksi lake kujirizisha nakutumia inbox ,jiwe tatu kamili naiacha tu bila maneno
Nipo kijanaKilangi masanja mkuu upo?
Mkuu ulishasukuma mdundo ule?Nipo kijana
Hapana kaka wateja wanachungulia pesa yao ndio kwanza nimeipiga na kava flan vi imekua unyama zaidiMkuu ulishasukuma mdundo ule?
😀😀😀😀😀 Ndio ulisema unausukuma ngapHapana kaka wateja wanachungulia pesa yao ndio kwanza nimeipiga na kava flan vi imekua unyama zaidi
JBL ni mwisho wa burudani inakita vizuri mnoAhnaaa hiii nitaifatilia mkuu
Shukran
Wakina JBl wanakuaga na quality ila bei ipo juu
Zipo feki lakiniAhnaa karibu sana mkuu
Kutokana na machaguzi yangu na watu wengi niliowauziaa
Eehh bwana JBL inapiga
Unaskia beat mpaka clicks kwa sauti yani ni mkiki kwa mkiki kaka
Karibu sana
Yeaaah mzee na feki kweli ndio changamoto mzee mm niliwahi agiza headphone kutoka alibaba dah sikuamini nilicholetewa😀😀😀Zipo feki lakini