Jinsi ya kuchemsha chai ya rangi

Jinsi ya kuchemsha chai ya rangi

Prof sas

Senior Member
Joined
Jun 24, 2014
Posts
126
Reaction score
58
MAHITAJI

- Maji safi

-Majani ya chai

-Chombo cha kuchemshia(sufulia nk.)

-Chanzo cha nishati( jiko la mkaa,mafuta nk.)

Nb: kabla ya kuchemsha chai zingati idadi ya watumiaji

JINSI YA KUCHEMSHA
Weka chombo chako chenje maji jikoni,tia majani ya chai(usiweke mengi sana itafanya chai yako kua chungu), acha ichemke , epua chai yako weka kwenye chombo ulicho andaa, chai yako ipo tayari kwa kunywa.

MAKOSA:kutia sukari kabisa si vizuri kwani kila binadamu anakiasi chake cha sukari anacho tumia.

Aksanteni sana chai njema.
 
Asante sana mkuu kwa chai ya saa 7 huku kwetu.
 
Wewe utakua bachelor, maana sijui kama kuna mtu anashindwa kuandaa chai!
 
MAHITAJI

- Maji safi

-Majani ya chai

-Chombo cha kuchemshia(sufulia nk.)

-Chanzo cha nishati( jiko la mkaa,mafuta nk.)

Nb: kabla ya kuchemsha chai zingati idadi ya watumiaji

JINSI YA KUCHEMSHA
Weka chombo chako chenje maji jikoni,tia majani ya chai(usiweke mengi sana itafanya chai yako kua chungu), acha ichemke , epua chai yako weka kwenye chombo ulicho andaa, chai yako ipo tayari kwa kunywa.

MAKOSA:kutia sukari kabisa si vizuri kwani kila binadamu anakiasi chake cha sukari anacho tumia.

Aksanteni sana chai njema.

= sufuria.
 
Mh. Wenzetu wa pwani watayaita maji yakunawia manake bila viungo haiendiiiiii.
 
hahahhahhahaha mkuu umetisha sana. Umefikiria nje ya box.
 
Weka mchaichai weka hiriki weka tangawizi weka tea masala ila chai hii mkuu kama dawa ya kuoshea macho..
 
Back
Top Bottom