LOVINTAH GYM
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 459
- 653
THE LAW OF DIMINISHING MARGINAL RETURNS
Diminishing ni kupungua kwa kitu
Marginal return ni faida ambayo unapata kutoka kwenye kitu flani.
Hii sheria inaelezea kwamba mwanzoni unavyoanza kitu ukiongeza juhudi basi kitakuzalishia zaidi, ila kadri unavyozidi kuongeza juhudi bila kuongeza vitu vyengine basi utajikuta faida unayoipata inaanza kupungua.
Total output ndio matokea (faida) utakayoyapa kwenye jambo lako kama ni biashara au chochote.
Total input ni zile jitihada unazozifanya ili kuhakikisha faida yako inaongezeka.
Most productive ndio hiko kipindi ambacho faida inaongezeka.
Diminishing return ndio ile sehemu ambayo faida inaanza kupungua.
Negative return ndio pale unapoanza kula hasara.
Mfano:
Unamiliki restaurant nzuri kwenye floor 1, ukiamua kuongeza wahudumu itakusaidia kuweza kuhudumia wateja wote kwa wakati na utapata faida.
Lakini ikifika point of maximum yield hata ukiongeza wahudumu haitosaidia kwasababu umesahau kuongeza vitu vyengine ambavyo ni msingi katika kukuza biashara yako kama kuongeza floor nyengine, kuongeza wapishi, kuongeza viti na meza nk.
Kwaio badala ya kuendelea kupata faida utajikuta unapata hasara, maana umeongeza wahudumu ambao unawalipa lakin vitu vyengine havijaongezeka.
Mfano 2:
Una mchumba wako, kadri unavyomnunulia zawadi na kumtoa out mapenzi yatazidi kuongezeka. Lakini unavyoendelea kumuongezea zawadi bila kuongeza vitu vyengine kama kumuonyesha una nia ya kumuoa, kumjali akiwa anaumwa, kumtambulisha kwa familia yako basi mapenzi yataanza kupungua.
Mfano 3:
Umefanikiwa kupata kazi katika kampuni flani, kadri unavyofanya kazi kwa juhudi basi utapandishwa cheo na mshahara utaongezeka. Ila ukifika point of maximum yield inamaana hata ufanye kazi kwa juhudi hautopandishwa tena cheo mpaka uongeze vitu vyengine kama kuongeza elimu, kwenda kwenye seminar, kujifunza technology mpya inayoendana na kazi yako nk.
Hivyo, hii theory inatufundisha kwamba jitihada pekee hazitoshi ili uweze kufanikiwa katika jambo flani, unatakiwa ujitahidi vitu vyote vya msingi navyo viongezeke ili uweze kuendelea kufanikiwa katika maisha.
Pesa pekee haitoshi
Mda pekee hautoshi
Vyeti pekee havitoshi
Experience pekee haitoshi
Machine pekee hazitoshi
ni jinsi ya kujiongeza kwa kila namna
Mnaweza kutoa mifano mengine ambayo inaweza kuelezewa vizuri na theory yetu .