Jinsi ya kuendelea kuwa masikini

Jinsi ya kuendelea kuwa masikini

*JINSI YA KUENDELEA KUWA MASIKINI*

1.Usiamke mapema.

2. Usipange matumizi ya Pesa zako.

3. Usiweke akiba mpaka utakapo-kuwa tajiri.

4. Chagua kazi. Mimi nimesoma siwezi kufanya hii kazi.

5. Usifikirie kuanzisha biashara mpaka malaika akishuka kutoka mbinguni na kukukabidhi mtaji.

6. Endelea kuilahumu serikali na wazazi ambao hawakukupa Elimu.

7. Tumia Pesa nyingi kuliko kipato chako.

8. Hakikisha unaenda na fashion. Kila toleo jipya la nguo, viatu, simu lazima na wewe ununue.

9. Wanunulie watoto wako chochote watakacho kuomba.

10. Endelea kutumia muda mwingi zaidi kwenye social networks. Kama Whatsapp, Facebook na Instagram negatively[emoji853]
Ujumbe mzuri sana, mwenye masikio na asikie
 
Na Kama wewe ni mfanyabiashara huna sababu ya kuamka alfajiri sana kwa sababu wafanyakazi wako watakuuzia biashara yako.
Wewe ukienda ni kwa ajili ya kufanya mahesabu tu.
Labda kama unamiliki choo cha stand.
 
Back
Top Bottom