Nimekwambia nahitaji umaarufu ? Mimi underground sijafikia levo hizo...Mimi nipo km Mimi na sihitaji "kubebwa" wala kulinganishwa na mtuumaarufu hautafutwi unakujaga auto kulingana na kazi yako, nakuhakikishia MziziMkavu akipost uzi wake mmoja thamani yake ni sawa na thread zako za mwezi mzima kijana
[emoji23] [emoji125] sawa mkuuUsirudi...hauna faida !!!!
Ha haa vibaya hivoUsirudi...hauna faida !!!!
Hujaelewa ujumbe......umekurupuka kuleta rundo la maneno !!!Heee...hivi mtu kabisa anauwaza/ kupenda kuwa supastar JF?!? halafu eti unakuta bichwa hiloo mi hata "the so called" bongo cerebrities nawaonaga uchwara tu!.....sembuse JF!
Haina nomaKiutani zaidi.....
Sasa kusipokuwa na mitifuano ya hapa na pale cpatakua kama church.Yaani kuifurahia JF kwa kuishi vizuri/kuwa peace na kila member ili kuepuka kupata stress zisizo na ulazima !!!!!!